Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kuna huu ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga ni hatari sana ila nashangaa huwa wamama hawafundishwi chochote Matokeo yake wamama wengi wanapoteza watoto kizembe. Wakati najifungua hosp pale...
4 Reactions
62 Replies
857 Views
Habari wanajamii msaada pale Karume kuna gari za kwenda Kisemvule na zinapaki upande upi?
1 Reactions
20 Replies
355 Views
Mama Shekha Nasser Akikata Keki ikiwa ni kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Mama Shekha Nasser aliamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula mlo wa jioni pamoja na wafanyakazi wake wote...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Natafuta eye patch nimpatie kijana alitolewa jicho moja hospital alichomwa bisibisi na vibaka limeondolewa, wapi zinapatikana kirahisi.
3 Reactions
8 Replies
159 Views
How much is enough ili kuweza kuridhisha matakwa na mategemeo ya mwanadamu, utashi tulionao pekee hautoshi ku-prove kuwa sisi ni bora ingawa hatuendani??, sasa kwa sababu upo egoistic, selfish na...
7 Reactions
21 Replies
264 Views
Siku zilisonga mbele, lakini bado taifa lilikuwa katika msisimko. Mijadala ilikuwa moto, kutoka vijiweni hadi bungeni. CCM sasa walikuwa wakifanya kile ambacho walikuwa wakiwahi kibeza—kupinga...
2 Reactions
1 Replies
61 Views
Wakuu, hiki kipande cha Moro Road kwenda Mandela Road hadi Buguruni to Bandalili, ule utaratibu wa kuzuia malori asubuhi ungehamia pia jioni, labda kuanzia saa 9 au saa 10 hadi saa 1 au saa 2...
1 Reactions
1 Replies
113 Views
Huwa ninapokuwa napata muda na nimepumzika mara nyingi huwa napenda kufuatilia kipindi kimoja kinaitwa AIRPORT SECURITY ambacho kinapatikana katika channel ya NATIONAL GEOGRAPHIC kutoka king'amuzi...
10 Reactions
30 Replies
875 Views
Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari. Mwandishi: Ulilionaje Pambano? Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko...
3 Reactions
3 Replies
135 Views
Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika...
22 Reactions
98 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameitaka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro kuhakikisha inafanya ukarabati wa madaraja yote na miundombinu ya barabara mbovu...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo Jeshi la Magereza, kupitia Mkuu wa Wilaya ya Geita, limekabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 zitakazotumika kupandwa...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Habari wadau, haya ni malalamiko yangu juu ya vituo vya kujazia mafuta vya kampuni husika. Hivi karibuni walianzisha mfumo wa kadi ambayo unaweka deposit ya pesa kadhaa na kukuwezesha kuitumia...
3 Reactions
11 Replies
240 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia...
2 Reactions
12 Replies
256 Views
Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
Aisee huwa najiuliza sana mimi mtu wa kuzunguka sana kama mbwa riziki yangu iko miguuni huwa nakuta sana gari aina ya Alphard au Noah tena namba E inauza korosho na unakuta wamewasha AC kabsa hivi...
7 Reactions
33 Replies
846 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…