Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kusitishwa kwa shirika la USAID na serikali ya Donald Trump kkutagusa maisha ya familia nyingi sana, Sasa kama wewe ni mwathirika usipanick relax, wewe si wa kwanza kukutwa na hali kama hiyo...
56 Reactions
228 Replies
9K Views
MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati...
3 Reactions
18 Replies
545 Views
Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa. Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi...
3 Reactions
27 Replies
604 Views
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea...
3 Reactions
5 Replies
143 Views
Katika dunia inayokumbwa na matatizo yasiyokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, na ndoto zilizokwama—watu wamegawanyika katika makundi mawili. Wapo wanaotafuta suluhisho kwa...
4 Reactions
2 Replies
129 Views
Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia 1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa...
2 Reactions
2 Replies
140 Views
👇
3 Reactions
9 Replies
228 Views
Siku hizi kuna ukosefu mkubwa wa habari kutoka kwenye media zetu karibu zote. Ukiangalia magazeti karibu yote habari zao ni uchawa mwanzo mwisho. Gazeti la nipashe angalau mhariri ameonyesha...
2 Reactions
5 Replies
384 Views
Wananchi wa mtaa wa Nyeburu uliopo kata ya Buyuni ILALA, Dar es salaam wameilalamikia mamlaka ya maji safi na mazingira DAWASA Kisarawe kwa kushindwa kufikisha huduma ya maji kwa zaidi ya miaka...
1 Reactions
9 Replies
191 Views
Madawa ya kulevya ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokumba jamii nyingi duniani. Mara nyingi, tunaposikia mtu amefariki kutokana na overdose, hatufahamu kabisa kinachotokea ndani ya mwili...
5 Reactions
18 Replies
625 Views
Ukiwa na Mapesa HUWEZI... 1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9) 2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa...
26 Reactions
189 Replies
3K Views
  • Redirect
BASHUNGWA ATOA ANGALIZO MAAFISA UHAMIAJI, UINGIAJI WA WAHAMIAJI HARAMU. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu...
0 Reactions
Replies
Views
Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!? No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Majigambo yake yameisha. Amepigwa kipigo cha mbwa koko! Amepigwa na Bwana Mkubwa! Loo, aibu yake! Alivyoona amefaulu kuwaingiza mtegoni ndugu zetu, kwa hila zake, alifikiri atadumu kuwa mwerevu...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
UTANGULIZI Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema “wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka...
13 Reactions
324 Replies
21K Views
Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi...
3 Reactions
3 Replies
161 Views
Nisaidie kujua kitu ndugu Ukipata nafasi ya kwenda israel kwa program za kilimo Muda wa Program ukiisha ukaamua kubaki kama immagrant ili kukamilisha lengo fulani la pesa. Je, ukitaka kuondoka...
2 Reactions
0 Replies
82 Views
Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako. Sasa sijui ni...
3 Reactions
13 Replies
313 Views
Kwa mahitaji na matumizi mbali mbali Kuharibu Kutengeneza Kukinga Kulinda Kufungwa Mvuta nk
18 Reactions
158 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja...
1 Reactions
6 Replies
179 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…