Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby. Lakini Mwislamu anaonyesha...
5 Reactions
190 Replies
5K Views
Jenipher Mgendi N mwimbaji wa Nyimbo za injili Nchini Tanzania amewahi Kutamba an Nyimbo kama Vile Chekundu, Yesu Nibebe;Nipo StudioBaba n.k Leo anatusimulia Kisa chake kilichotokea Miaka zaidi...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
  • Redirect
Binadamu aliyebuni jina la taifa la Tanzania, Mohanmmed Iqbal Dar, amefariki Dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi akiwa na umri wa miaka 80. Mohammed Iqbal Dar...
0 Reactions
Replies
Views
https://www.youtube.com/watch?v=KWyWzuAujVI The Youth Agency Mufindi (YAM) project, with a vision to invest in avocado farming in Mufindi district, Iringa region, has expressed concerns over the...
4 Reactions
4 Replies
571 Views
Mi kuvaa sare za CCM au kuvaa manguo yenye picha ya Mama Abdul pia kubebeshwa bango lenye picha ya mama Abdul. Pia kushiriki kwenye mbio za mwenge. Bora waniue kuliko kifanya hayo. Wewe je?
4 Reactions
15 Replies
252 Views
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea? Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option...
6 Reactions
9 Replies
157 Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa ujumbe mkali kwa watumishi wa umma wanaosababisha migogoro kwa kuwadhulumu wananchi, akisema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza hatua...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Habari JF leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati...
92 Reactions
522 Replies
59K Views
Mkandarasi wa huduma ya umeme REA mtaa wa Nyantorotoro A Geita Msikitini kwa juu ametufanyia hujuma sana wananchi. Nguzo za mradi wa umeme zimewekwa kwa kujuana sana kinyume na ramani ya mradi...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
Demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Muafrika. Jamaa anatinga magwanda na vimaneno vya ushujaa, na mnamuona mkombozi, aaah wapi, Africa ishakuwa corporate hii, africa ni mgodi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kama aliivyoingia...
7 Reactions
22 Replies
740 Views
Habari za Asubuhi ? Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU. Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Anaekuhubiria utalindwa na roho alie juu yeye mwenyewe analindwa na bodyguards 7. Anaekuambia ukijitoa muhanga na watu wasio kuwa wa dini yako kuna pahala pako enzini, yeye amejichimbia chini...
11 Reactions
33 Replies
383 Views
Kwanza naamini katika uwepo wa mungu na Kila jumapili nashiriki misa takatifu ya pili katika kanisa katoriki la karibu yangu. Pengine katika ukuaji wangu yawezekana nilikosa elimu juu ya ufungaji...
3 Reactions
12 Replies
195 Views
  • Redirect
Mzee Dar ndio alituna jina Tanzania na pia Sir name yake ndio imeunda jina Dar es Salaam. R.I.P Mzee Dar. https://www.instagram.com/p/DGxhx6eNP4a/?igsh=ZTQ0cW1ianR3YmYy
3 Reactions
Replies
Views
MALALAMIKO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO Mikopo ya Mama Samia vilipitishwa vikundi saba kata ya Kibondo Mjini waliitwa wakapewa na semina, wakapiga Picha na kushikishwa mabango kwamba...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
๐—๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ? Ulimwenguni mwaka 2024 Kulikua na jumla ya wanaanga 47 ambao active wanaofanya kazi kati yao wanaume ni 27 na Wanawake 20 ila toka miaka ya nyuma mpaka Leo tuna...
2 Reactions
6 Replies
174 Views
Haya habari mwana JF. Najua kuna stendi nyingi za mabasi nchini Tanzania na nyingi mno zina changamoto zake. Changamoto nyingi NI hawa vijana wapokea abiria kwa ajili ya kwenda kuwaonesha ofisi...
1 Reactions
9 Replies
324 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ