Wadau wa JF, poleni na pilika za maisha.
Najua dunia hii ni ya mbio—asubuhi unakimbiza noti, jioni unatafakari makato ya kodi, na usiku unalala na ndoto za mafanikio. Kila mtu anahangaika, lakini...
Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.
Kuna wengine hata uhakika wa msosi hana lakini huwezi kuona wanatetereka.
Ramadan ikifika wengi hulegea na wengine...
Wasalaam,
(Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30)
Kwako mpendwa kijana wa kiume.
Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii...
Habari Mbaya sana.
Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.
Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.
Huwa aka yake...
Habari Mimi ni kijana nipo Njombe Mjini, Hivi Karibuni Halmashauri ya Mji wa Njombe ilitoa Mikopo Kwa vikundi vya wanawake,Vijana na watu wenye ulemavu zaidi ya Billion 1.8, Kikundi chetu Cha...
Takwimu za hivi majuzi zinaonyesha joto limeongezeka sana kwa viwango vya kutisha, katika sehemu mbalimbali duniani.
Here are some of the hottest recorded temperatures in 2024:
Ouargla, Algeria –...
Wadau wa Jamiiforums, habari za wakati huu! Katika dunia ya leo, teknolojia ya AI imepiga hatua kubwa kiasi kwamba, usishangae siku moja ukiona video yako ukicheza ngoma ya asili na mababu zako...
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam wamekamata Wafanyabiashara wawili waliokutwa na kosa la kuuza bidhaa ya nyama kwa kutumia mizani yenye kupunja uhalali wa vipimo.
Akibainisha...
Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
Swali hili nauliza kwa sababu kuna jamaa anasema hivi, nitanukuu ila baadhi ya sehemu za majina nitaficha
"Tulipokuwa JKT Afisa mmoja wa jeshi ambaye ni moja ya viongozi wakuu wa kambi ile...
Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.
Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.
Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?
Au...
Ijumaa ya tarehe 28 Februari haikuwa siku rahisi kwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alipotembelea ikulu ya White House Marekani.
Kabla hata ya mzozo ulioibuka kati yake na wenyeji wake Rais...
1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada.
2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako.
3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu.
4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na...
Alisikika kijana MMOJA
Njau bar pale mbezi beach wakati alipokuwa akila kiti.moto na familia yake
BAADA ya miaka Mingii kijana akitoka kazini anaitana na WALEVI wenzie na wazinzi wenzie wanakaaa...
Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8.
Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni...
Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika...