1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi...
Wanasahau kuwa wizara ya afya ya gaza ipo chini ya usimamizi wa ugaidi wa hamas. Kwa hio walitegemea sisi tuamini maigizo yao "pallywood".
https://youtu.be/a0srOqNem08?si=vQOuUfMNz6_5mf-q
Israel...
Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma
Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki...
Elon Musk(50) tajiri namba 1 duniani amesema hadi sasa hamiliki nyumba yoyote hata kulala huwa analala kwa marafiki zake licha ya utajiri wake kukadiriwa kuwa zaidi ya dola bilioni $200.
Amesema...
Salam Wakuu,
NImepita maeneo hayo asubuhi hii moja ya nguzo inayotoa umeme kwenye transfoma hiyo inatoa mlio ule wa kama kuna shoti. Wenyeji wanasema hali hiyo imeanza toka toka jana mchana...
Najiuliza, je mbinguni ni mahala panatisha kiasi hiki? Kwamba hata watu wanaotufundisha kwamba Mbinguni ni mahala pazuri wanaogopa kwenda?
Kwa mfano, hebu fikiria, Papa mwenye zaidi ya miaka 88...
Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha.
Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo...
Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa...
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze...
Miaka michache iliyopita tulimpoteza Elvis Tables Musiba aliyekuwa Mwenyekiti wa TPSF (Tanzania Private Sector Foundation). Mwaka jana tukampoteza Sir. Andy Chande aliyekuwa kiongozi wa sekta...
Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini...
Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya...
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4...
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti...
Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora.
Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa...
Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza ukienda pale Ferry Kigamboni kwenye kivuko kuna uwekazaji umefanyika na Azam yaani unaona kabisa kuna maisha sasa Kigamboni na watanzania wanaishi kwa...