Naleta kwenu hili wadau naimani mtanishauri vyema. Nataka kucha kazi yangu ya ualimu niliyodumu nayo Kwa miaka mitano(5).
Sababu kubwa za kuacha kazi.
( 1) Nilicho kitegemea na nilichokikuta ni...
Mathayo 7:13-14 SRUV
[13] Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. [14] Bali mlango ni...
Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo...
Siwezi kushangaa waziri mkuu akilalamika kuwa serikali kupitia mfumo wa kukusanya malipo wapigaji wakiwa wengi mpaka wengine kupelekwa mahakamani.
Siwezi shangaa kuona TRA,bandari na mifumo ya...
Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na...
Sijui na bahati mbaya YAAN kila siku nikiangalia taarifa nakuta jamaa wanaelezea wahusika wamechekewa kutia taarifa moto ULIKUWA stage mbaya imesambaaa
Sasa tunasaidianaje na hiliiiii
Hili n...
Lugha ya Kichina inaendelea kupata umaarufu katika nchi na sehemu mbalimbali duniani, na vijana wengi wanapenda kujifunza lugha hii kwani imekuwa ni daraja la kuunganisha tamaduni za nchi...
Suala la matuta barabara ya Cheka - fery eneo la shule ya Meka na Dege centre. Pale shule ya Meka ndio kuna zebra kwa ajili ya shule ile yenye wanafunzi wengi tu wanaotoka mpaka Pemba, Mnazi na...
Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo...
Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo Kata ya Mpui, Halmashauri ya Wilaya...
Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam
Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi...
Mimi sio mwanasiasa ila kuna kitu nimeona kwa huyu mwamba.
John Heche kwa sasa ni Makamu mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Huyu mzee ameonyesha umahiri mkubwa sana toka...
Kampuni ya taski mtandao Bolt imeweka bayana madereva zaidi ya elfu arobaoni (40,000)wamefungiwa akaunti zao kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya uhalifu.
Hayo yamebainishwa na Dimmy...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameonya vikali wakuu wa taasisi za umma dhidi ya upendeleo na mianya ya rushwa katika teuzi zao...
Habari!
Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu.
Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini?
Na hii Hali ni nzuri kweli?
Najua wengi tushaiona hata wengine...
Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji...
Wande Mbiti (38), mkazi wa Kitongoji cha Busalala, Kijiji cha Nhelegani, Kata ya Kizumbi, mkoani Shinyanga, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba aliyokuwa...
Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu.
Hakikisha Unathibitisha Taarifa...