Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona.
Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini...
Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (CDC) Afrika, jumla ya visa vilivyorekodiwa hadi sasa ni 2,013,388 huku vifo zaidi ya 48,000 vikirekodiwa
Mataifa ya Chad, Misri an Sudan...
Nipo Mascut nchini Oman. Nimeingia kwenye chumba cha mahakama asubuhi hii kusikiliza kesi ya mmoja wa wanafamilia. Kabla kesi yetu kutajwa nikasikia kesi mchanganyiko.
Iliyonivutia ni hii ya...
COVID-19 has rapidly affected our day to day life (health, social and economy, businesses disrupted the world trade and movements). This virus creates significant knock-on effects on the daily...
Rais Vladimir Putin ametangaza kuwa Urusi imeidhinisha rasmi chanjo ya COVID19 iliyotengenezwa na Taasisi ya Galameya iliyopo Mji Mkuu wa nchi hiyo, Moscow
Akizungumza na Mawaziri kupitia...
A 107-year-old Iranian woman who was infected with the new coronavirus has recovered, Iran’s semi-official Fars news agency reported on Sunday.
The woman, Saltanat Akbari, was admitted to the...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China
Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema...
Centre For Disease Control and Prevention (CDC) wametoa sababu za kutofananisha mafua ya kawaida na #CoronaVirus ili kuweka sawa wanaopinga na kutaka shughuli za kiuchumi ziendelee kwa kuamini...
MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.