International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

The Seychelles, which has fully vaccinated over 60% of its population against Covid-19, is bringing back restrictions amid a rise in cases. The archipelago of nearly 100,000 people recorded close...
2 Reactions
7 Replies
805 Views
Ndani ya saa 24 zilizopita, India imerekodi visa vipya 323,144. Ni siku ya sita kwa Taifa hilo kuripoti maambukizi mapya zaidi ya 300,000 na visa vimefikia Milioni 17.64 Hospitali zimekuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Israelis are no longer required to wear masks outdoors. The country is nearly fully open. #Coronavirus === With most of its population vaccinated against COVID-19, Israel on...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 Corona. Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita. Sudan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati masharti yaliyowekwa kudhibiti janga la Virusi vya Corona Uingereza yakiendelea kulegezwa, Waziri Mkuu Boris Johnson amewataka Wananchi kuendelea kuchukua tahadhari Maduka yatafunguliwa...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo ya corona peke yake ndio wataruhusiwa kufanya ibada ya Hija mwaka huu huko Mecca. Wizara ya Hija na Umrah imetoa taarifa kuwa watu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tulipopiga kelele kuhusu hili suala tulionekana ni mazuzu, viongozi wa Bakwata walikuwa busy kumsifu na kumtukuza mfalme huku wakisema hili jambo ni story za kitaa. Muda ni mwalimu mzuri, haya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona. "Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona. Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini...
9 Reactions
393 Replies
18K Views
Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 barani Ulaya imefikia watu 900,000 leo. Hayo ni kulingana na takwimu za mamlaka za afya zilizojumuishwa na shirika la habari la AFP. Idadi hiyo inalifanya bara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe. Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu. Hili ni...
8 Reactions
171 Replies
15K Views
Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea. Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake...
8 Reactions
106 Replies
7K Views
Serikali ya Canada imesema Jana Alhamisi chanjo ya Astrazeneca ni salama na itaendelea kuitumia kwa wananchi wake licha ya nchi za ulaya Norway na Denmark kusitisha kuitumia kwa muda. Canada...
1 Reactions
1 Replies
864 Views
Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko. Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom