International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani. Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Tuendelee juwa na subra, kwenye bustani ya wanyama ya sandiego huko San Diego, nyani na sokwe ndiyo wanyama wa kwanza kupatiwa chanjo tofauti na binadamu kwa kupokea chanjo ya COVID-19. Habari...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza. Polisi wamewakamata watu 80 kwenye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Rwanda inapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Covid 19 yenye dozi zipatazo 240,000 za Astra Zenneca kutokea za Oxford. Dozi hizo zinatarajiwa kufika nchini humo siku ya jumatano asubuhi. Aidha...
1 Reactions
8 Replies
969 Views
Nchi za EU wanafikiria kuanzisha mpanga wa covid vaccine passport miongoni mwa nchi wanachama. Hii ni moja ya mkakati wa kukabiliana na covid 19 miongoni mwa raia wao wanaposafiri. TUTAELEWANA TU...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mgonjwa aliyepandikizwa mapafu amekufa baada ya kupokea #mapafu yaliyoambukizwa na Covid-19, kulingana na utafiti wa kimatibabu ulioelezea kesi ya kwanza kama hiyo nchini Marekani.⁣ ⁣ Kulingana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa athari za corona nchini India ikiwemo idadi ya maambukizi na vifo imeshuka kwa kiwango cha juu bila kupatiwa maelezo ya kitaalamu. Awali ugonjwa huu ulipoanza hapo mwaka jana...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
09 February 2021 Harare, Zimbabwe Balozi wa Zimbabwe nchini Mozambique apoteza uhai kwa Covid-19 (Video : courtesy of pixie pearls) Kamanda mwingine aliyeshiriki kumungoa Robert Mugabe afariki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Even as the world eagerly waits for a Covid-19 vaccine, tech billionaire Elon Musk has said that he would not take one when it becomes available. In an interview on the New York Times` podcast...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
The world is eagerly awaiting the release of several COVID-19 vaccines, but Brazilian President Jair Bolsonaro is not. “I’m not going to take it. It’s my right,” he said in a Nov. 26 social media...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
SYDNEY - Clinical trials of a COVID-19 vaccine being developed by Australia’s University of Queensland in partnership with biotech company CSL have been abandoned after participants returned false...
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Despite the Covid-19 death count in the United States rapidly accelerating, a startlingly high percentage of health care professionals and frontline workers throughout the country—who have been...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Pope Francis to have COVID-19 vaccine, says it is the ethical choice for all By Reuters Staff VATICAN CITY (Reuters) - Pope Francis said on Saturday he planned to be vaccinated against COVID-19...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani. Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo kwa ajili ya kupata chanjo ya ugonjwa wa covid- 19 kwa ajili ya wananchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, mazungumzo hayo na kampuni ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu 698 wamekufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kwa muda wa saa 24 zilizopita nchini Ujerumani, hii ikiwa ni kulingana na taasisi ya Robert Koch inayoshughulikia magonjwa ya kuambukiza nchini...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
- Ni Ambrose Dlamini ambaye aligundulika kuwa na ugonjwa huo wiki 4 zilizopita - Amefia nchini Afrika Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu - Alikuwa na umri wa miaka 52 tu; amekuwa Waziri Mkuu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Warusi walitangaza mapema kabisa kwamba wamepata " Vaccine" dhidi ya COVID-19. Na huyu mwamba Putin akasema binti yake moja amepata hiyo chanjo na iko poa. Yeye mwenyewe amekwepa kupata chanjo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom