Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itadhibiti mikusanyiko ya Umma kufikia watu 20 na kufunga klabu za usiku wakati Taifa hilo linakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona.
Kwa...
The foreign ministers of BRICS (Brazil, Russia, India, China and South Africa) held a meeting on Tuesday and stressed the need to promote initiatives aimed at ensuring timely, affordable, and...
Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31...
Rais Felix Tshisekedi amesema Hospitali za Mji Mkuu wa Kinshasa zimelemewa kufuatia ongezeko la maambukizi ya Corona. Taifa hilo limerekodi visa takriban 35,000 na vifo 830
Kampeni ya Chanjo...
Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia...
Wanajamvi
Nimekuwa Na hisia kuwa huenda Dr. Magufuri Ni kiona mbali kutokana Na nchi ya ulimwengu wa kwanza kupinga walimu kuvaa mask wakati wanafundisha kwani hakuna ushahidi kuwa mask zinazuia...
Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatarajia matokeo kuhusu ripoti ya upelelezi wa chanzo cha virusi hivyo.
Wizara ya kigeni nchini China iliishutumu Marekani kwa kufanya siasa na kuirushia...
Awali wananchi hawa walitakuwa kuchomwa dozi ya pili ya AstraZeneca wiki nne baada ya chanjo ya kwanza dhidi ya virusi vya Corona kukamilika lakini haikuwezekana kutokana na sababu zisizozuilika...
Shirika la Dawa Ulaya (EMA) limeidhinisha Chanjo ya Pfizer-BioNTech kwa Watoto wa miaka 12-15 ambapo Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zitaamua ikiwa zitaitoa kwa kundi hilo
Imeelezwa...
Zaidi ya Wamarekani 1,000 wengine wapoteza maisha kwa corona kwa siku moja.
Takwimu mpya zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha nchini Marekani zinaonesha kuwa, zaidi ya watu 1,000...
Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China.
Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo...
Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano.
Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na...
63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua...
Habari wana bodi.
Nchi ya Afrika Kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.
Nchi ya...
India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo...
Zaidi ya wananchi 60%+ wa Seychelles wamepata chanjo ya corona huku maambukizi yakizidi kuongezeka sana zaidi hata ya Tanzania ambako hakuna hata single dose ya chanjo.
CNN wanaripoti kuwa vita...
India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha...
The catastrophic scale of the Covid-19 pandemic could have been prevented, an independent global panel concluded Wednesday, but a "toxic cocktail" of dithering and poor coordination meant the...
Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na Soko la Ndani, Thierry Breton amesema umoja huo haujarefusha mkataba wa kuendelea na chanjo ya Covid-19 ya ubia wa makampuni ya Kiingereza na Kisweden ya...
Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake.
Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.