International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kampeni ya utoaji wa chanjo ya Corona katika mji wa Vatican iliyoanza siku ya Jumatano inaendelea na miongoni mwa waliopatiwa chanjo hiyo ni Papa Francis na Papa Emeritus Benedict XVI ambapo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19. Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina...
14 Reactions
160 Replies
12K Views
Johnson & Johnson's COVID-19 vaccine will be made available to the public again, ending an 11-day pause initiated after a rare blood-clotting disorder was associated with the shot. The Food and...
1 Reactions
0 Replies
558 Views
Oramed kampuni ya utengenezaji dawa, imetengeneza Chanjo ya Uviko19 kwenye muundo wa Kidonge. Kwa sasa Inasubiri kibali cha Wizara ya Afya ya Israel wiki mbili zijazo. ==== Israeli COVID vaccine...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Umoja wa Ulaya umesema zaidi ya nusu ya raia wake watu wazima wamepatiwa chanjo kamili ya Covid-19, wakati nchi barani humo na Asia zikiendelea kukabiliana na maambukizi mapya yanayochangiwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
United Kingdom (#UK) has reported a huge spike in daily #Covid19 infections with 51,870 covid cases in last 24 hours. This is the highest figure since January 15. The more infectious...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
However disturbing it might be,Australia Health Minister has openly said, ‘we’ve got to accept that the the New World Order is here.He said this as harsh COVID lockdowns are being imposed in...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye mamlaka ya udhibiti wa dawa nchini Cuba imetoa ruhusa ya dharura kwa matumizi ya Chanjo iliyozalishwa locally nchini Cuba. Hongera kwa kujitambua CUBA! ===== Cuba begins mass Covid-19...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Rwanda imeamuru kufungwa kwa shule na vyuo vikuu na kuzuia mikutano na mikusanyiko yote ya kijamii, kuanzia Julai 1. Zuio la kutotoka nje kuanzia saa 1 jioni hadi saa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa...
4 Reactions
114 Replies
8K Views
Serikali imesema hali ya COVID19 ni janga na Mfumo wa Huduma za Afya umekufa. Hospitali za muda mfupi zimeanzishwa kote Nchini humo lakini Wizara ya Afya inasema hazitoshi, na wana changamoto ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili Uamuzi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali ya Singapore imetangaza kuwa itaacha kutoa takwimu za visa vya #COVID19 na kwamba muda umefika wa kuishi na ugonjwa huo kama mafua. Aidha, Serikali hiyo imesema itafuatilia wagonjwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom