Wenzetu Ufaransa wanaanza rasmi kuwabana wananchi wale ambao wamekataa kuchanjwa chanjo za Uviko19.
Restriction hizo ni pamoja na kuzuiwa kuingia kula kwenye migahawa, kupanda usafiri wa kwenda...
Kutokana na kuwepo Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi zaidi, Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) imeidhinisha utoaji wa Chanjo za ziada za Pfizer na Moderna kwa watu ambao kinga yao ya mwili...
Wengi wa wale waliopewa chumvi isiyokuwa na madhara ni wenye miaka zaidi ya 70. (Chanzo cha picha: AFP)
Mamlaka kaskazini mwa Ujerumani imewataka zaidi ya watu 8,000 kurudia kupata chanjo za...
Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa...
Mswada wa pendekezo umefichua mpango wa majimbo 16 ya Ujermani na wa serikali kuu juu ya kuacha kuwapima watu maambukizi ya virusi vya corona bila ya kulipia.
Wabunge wa Ujerumani wanatarajiwa...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika.
CDC...
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi
Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri...
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.
Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982...
Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16.
Kwa ujumla...
Pharma giant Pfizer has already developed and manufactured ingredients for a COVID-19 vaccine targeting the highly contagious Delta variant.
The Delta variant: As the coronavirus spreads, its...
China imeendelea kurekodi maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona, ikiwa ni wiki ya tatu tangu mlipuko mpya kuripotiwa. Visa vipya 125 vimerekodiwa na baadhi ya Miji imeongeza jitihada za upimaji...
Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya.
Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika...
CNN has fired three employees who violated company policy by coming to work unvaccinated against the COVID-19 virus.
CNN chief Jeff Zucker told staff members of the firing in a memo sent Thursday...
August 3, 2021
Abuja, Nigeria
The U.S Mission to Nigeria has stated that the 4,000, 080 Moderna vaccines doses donated to Nigeria was part of President Joe Biden’s commitment to combat the global...
Israel imekuwa taifa la kwanza ulimwenguni kuanza kutoa dozi ya nyongeza ya chanjo ya COVID-19 kwa watu wenye umri mkubwa, huku waziri mkuu Naftali Bennet akitoa mwito kwa watu maarufu mitandaoni...
Microsoft says it will require proof of COVID-19 vaccination for all employees, vendors and guests entering its U.S. buildings starting in September, joining Google, Facebook and other companies...
Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona...
Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu...
Kama jitihada mojawapo ya Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote...
Mengi yameelezwa kuhusu chanjo za Corona.
Kwa mujibu wa balozi wa Marekani, katika vifo vyote vitokanavyo na Corona sasa hivi huko kwao, 99% ni watu ambao hawakuwa wamechanjwa.
Angalizo:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.