Japan ilisitisha utumiaji wa dozi karibu milioni 1.63 za chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani ya Moderna dhidi ya corona (Kovid-19) baada ya vitu visivyojulikana kugunduliwa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema utoaji Chanjo dhidi ya COVID19 barani Afrika umeongezeka ikielezwa dozi Milioni 13 zilitolewa wiki iliyopita. Idadi hiyo ni mara tatu zaidi ya Chanjo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul.
Pia...
Baada ya Visa duniani kuongezeka kwa kiwango kikubwa kwa takriban miezi 2, Shirika la Afya (WHO) limesema hivi sasa takwimu zinaonesha ongezeko la maambukizi lipo kwa kiasi kidogo.
Visa vipya...
Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha maisha nchini Senegal kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, amefariki dunia.
Taarifa hiyo imetolewa leo...
Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa...
Hili ni Azimio la October mwaka jana kupinga sera ya sasa ya covid. Essentially, linasema, wazee ndio wako at risk, kwa hiyo wasichanjwe wao peke yao.
Wauguzi wengi wanaipinga hii Sera ya sasa...
Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa...
Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi...
The Mississippi State Department of Health issued an alert on Friday ordering any coronavirus-positive individuals to isolate for at least 10 days or face up to a 5-year prison sentence and a fine...
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO, limesema Afrika Magharibi imeorodhesha idadi kubwa zaidi ya vifo vya corona au COVID-19 tangu janga hili lilipoanza huku nchi kadhaa za ukanda huo...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amesema kupata chanjo ya virusi vya corona ni kitendo cha upendo na amewataka watu kuchanjwa.
Katika ujumbe wake uliotolewa leo kwa njia ya...
Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo.
Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo...
The emerging Lambda variant has been popping up in the news as it spreads rapidly throughout South America. In California, at least 152 cases have been reported, the first as early as September...
Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans
'Screw your freedom': Schwarzenegger calls out anti-vaxxers
Washington (CNN)Top health officials in the Biden...
Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali...
Kiongozi wa Wademocrat katika Baraza la Seneti nchini Marekani Chuck Schumer leo ametoa wito kwa mamlaka za nchi hiyo kukomesha mauzo ya vitambulisho bandia vya chanjo ya Covid-19 vinavyouzwa...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ambaye ameapishwa hivi karibuni, amepata chanjo ya #COVID19 ya COVIran Barekat.
COVIran ni moja ya chanjo inayotengenezwa Iran ambayo ipo katika mchakato wa...
Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo kwq siku ya pili mfululizo wakati maambukizi yanayotokana na Kirusi Delta Nchini humo yakiendelea kuongezeka licha ya jitihada za Mamlaka.
Watu 815 wamefariki...
Serikali Nchini humo imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo ya Johnson and Johnson dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Hadi sasa Mamlaka za Afya za India zimeidhinisha Chanjo kadhaa ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.