International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Taifa hilo limerekodi visa vipya viwili pekee, idadi ambayo ni ndogo zaidi ya maambukizi tangu kuripotiwa kwa mlipuko wa CoronaVirus. Japokuwa idadi ya wagonjwa imekuwa ndogo Nchini humo...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Rwanda imesifiwa kufikia lengo la dunia ambapo kila nchi itapaswa kuchanja walau 10% ya watu wake na hivyo imeondolewa katika orodha ya nchi zilizokuwa katika orodha nyekundu ya kuingia Nchi za...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ametangaza cheti kipya cha chanjo ya COVID-19 ambacho amesema kitarahisisha kusafiri na kuhudhuria matukio ambayo yanahitaji uthibitisho wa chanjo. “ Wizara...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni kubwa ya kutengeneza dawa ya hapa Marekani ya Pfizer imesema kwamba imeanza majaribio ya dawa inayolenga kulinda watu wanaoishi na mtu aliyeambukizwa Covid. Dawa hiyo inalenga kuwazuia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Milanović wa Croatia aliulizwa siku ya jumatatu na mwandishi wa habari, Kwa nini kiwango cha uchan*jaji si cha juu kama ilivyo kwa nchi nyingine za Umoja wa Ulaya. Akasema: “We will not go...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
HARD PROOF! MOST VACCINATED COUNTRIES HAVE MOST COVID CASES Posted on September 16, 2021 by State of the Nation FacebookTwitterPinterestRedditEmailShare MOST VACCINATED COUNTRIES HAVE MOST COVID...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
A Russian-Armenian joint venture will manufacture a one-dose coronavirus vaccine in Armenia for domestic use. The Russian Direct Investment Fund (RIPF), in cooperation with the Armenian Ministry...
1 Reactions
1 Replies
653 Views
Iranian customs office IRICA say the country will receive 10 million coronavirus vaccine doses manufactured in Belgium under American brands of J&J and Pfizer. Iran has mostly relied on China’s...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna tatizo kubwa Afrika, Yaani hata kwa kuunganisha Nguvu zetu kwa pamoja kuja na chanjo moja imeshindikana, tunabaki kuwapa pongezi kubwa wazungu kwa kutuletea chanjo. maisha ya mwafrika yapo...
1 Reactions
7 Replies
847 Views
Waziri wa Afya, alilihakikishia Taifa kwamba Chanjo za Covid-19 ni salama, baada ya kufanya scientific research. Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswali ambayo wafanyabiashara walizuia watu...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Rwanda imelegeza masharti waliyoweka katika kudhibiti maambukizi ya #COVID19. Baa zitafunguliwa na mikusanyiko itaruhusiwa Watakaoruhusiwa kuwepo kwenye mikusanyiko kama sherehe na maonesho ni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani inajianda kutoa msaada wa chanjo za ziada millioni 500 za Covid 19 za Pfizer kwa mataifa kadhaa kote duniani, na hivo kufikisha jumla ya dozi billioni moja kufikia sasa. Jumatano, Rais...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Toleo jipya la Chanjo ya Johson & Johson la Dozi mbili ni madhubuti kwa 94% dhidi ya kirusi cha covid 19 na sasa chanjo hiyo inalinganishwa sawa na Chanjo ya Modena na Pfizer. --- A two-dose...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya...
1 Reactions
0 Replies
958 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Afrika inakabiliwa na upungufu wa dozi milioni 470 za chanjo ya COVID-19 mwaka huu, baada ya mpango wa kimataifa wa COVAX kupunguza makisio ya shehena yake...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali ya Zimbabwe imewazuia Watumishi wa Umma ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kwenda kazini, ikisema walipewa muda wa kutosha kupata chanjo hizo Mamlaka Nchini humo zinasema takriban...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
About 3,000 health workers in France have been suspended because they have not been vaccinated against Covid-19. A new rule, which came into force on Wednesday, made vaccination mandatory for the...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin anajitenga kama tahadhari baada ya Wasaidizi wake wa karibu kuugua Ugonjwa wa COVID19. Imeelezwa, Rais huyo mwenye miaka 68 hana maambukizi. Kwa mujibu wa Ikulu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwaka 2022 Kenya itaanza kutengeneza chanjo ya COVID-19 ndani ya nchi kwa kushirikiana na kampuni za dawa katika hatua ya kurahisisha usambazaji wa chanjo kwa watu wengi. Waziri wa Afya Mutahi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom