Maafisa wa afya nchini Afrika kusini wamesema serikali imeomba makampuni ya Johnson and Johnson na Pfizer kuchelewesha utoaji wa chanjo za Covid 19 kwa sababu kwa sasa inazo nyingi kwenye maghala...
Uholanzi imeanza hii leo kuwapeleka wagonjwa wa Covid 19 nchini Ujerumani kutibiwa ili kupunguza shinikizo kubwa linalozizonga hospitali za nchi hiyo zilizoko katika hali mbaya ya kukabiliana na...
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.
Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote.
Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu...
Bunge la Ujerumani limeidhinisha sheria mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya Corona. Hatua hiyo imechukuliwa leo wakati Kansela Angela Merkel anayekaimu serikali, akijiandaa...
Austria imekuwa nchi ya kwanza katika Ulaya Magharibi kutangaza tena hatua za kusitishwa shughuli za nchi kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.
Kansela wa Austria Alexander...
Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19.
Zhang alisafiri kwenda Wuhan...
Ujerumani hii leo imetangaza idadi ya juu kabisa ya maambukizi ya virusi vya corona wakati ikipambana na wimbi la nne la maambukizi lililoibuka tangu mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Taasisi ya...
LONDON — Drugmaker Pfizer Inc. has signed a deal with a U.N.-backed group to allow other manufacturers to make its experimental Covid-19 pill, a move that could make the treatment available to...
Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo
Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia...
Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo.
Mamlaka zimekuwa na...
Wimbi la 4 la corona laitikisa Ujerumani watengenezaji wa chanjo Pfizer
11.11.2021
Ujerumani imeripoti kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya virusi vya corona kwa siku moja, baada ya zaidi ya...
Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo
Data hizo...
Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari za nchi za magharibi vimejaribu kuibeza China kwa kusema sasa itabaki peke yake kwenye iliyokuwa ngome ya nchi zinazotekeleza sera ya maambukizi sifuri ya...
Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya...
Costa Rica yaiorodhosha Corona kama ugonjwa ambao chanjo zake zinatolewa kwa watoto kwa mujibu wa sheria ambapo wazazi wanaweza kuadhibiwa kwa kutotii amri hiyo
Utoaji wa chanjo kwa watoto...
Ulaya imetajwa kuwa kitovu cha mlipuko wa Virusi vya Corona kwa mara nyingine, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likionya kuwa Bara hilo ambalo linashuhudia ongezeko kubwa la maambukizi linaweza...
Taifa hilo limeidhinisha Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer/BioNtech kwa Watoto walio na umri wa miaka 5 - 11, ikielezwa Wataalamu wamebaini ina ufanisi wa 91% katika kuzuia Ugonjwa huo kwa Watoto...
Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu.
China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.