Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne
Rais Ramaphosa anasema...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vikwazo katika Huduma ya Afya vilivyotokana na janga la COVID-19 vimepelekea vifo 69,000 zaidi vya Malaria mwaka 2020, ikilinganishwa na mwaka uliopita...
Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid-19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.
Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid-19 siku mbili kabla ya safari na...
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid
● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi...
Viongozi wa kitaifa na wa kikanda wa Ujerumani wamekubali kuwazuia watu ambao hawajachanjwa kushiriki pakubwa katika maisha ya umma kwa nia ya kuzuia wimbi la nne la Covid-19.
Kansela...
Korea Kusini imerekodi maambukizi 5,266 ya COVID-19 kwa Desemba 1, maambukizi ambayo ni makubwa, ikiwa ni wiki mbili baada ya kuripotiwa kwa kirusi cha Omicron.
Wasafiri wote watatakiwa kukaa...
Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu.
Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa aina mpya ya kirusi cha corona Omicron c ina hatari kubwa ya maambukizo kuongezeka kote ulimwenguni.
Aina hiyo inaweza kusababisha athari mbaya...
Zimbabwe imerejesha marufuku ya kutotoka nje na karantini za lazima kwa wasafiri wote huku kukiwa na ongezeko la visa vya Covid ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron.
Nchi hiyo...
Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya...
Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutuma barani Afrika dozi bilioni moja za chanjo ya Covid-19 ili kusaidia kuziba "pengo la chanjo". Rais alitoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kilele wa China na...
30/11/2021
Hatua hii ya Rwanda kuweka marufuku ya usafiri dhidi ya Afrika Kusini kwa kisingizio cha aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kinachojulikana kama "Omicron" ambacho kimegunduliwa nchini...
Karibu Nchi zote za Africa, kasoro zile zinazopatikana kaskazini mwa Africa (Northern African countries) zimepigwa ban na taifa la Israel ijumaa ya tarehe 26 Novemba 2021 kutokana na hatari ya...
Wizara ya mambo ya nje ya Morocco imesema kwamba kuanzia Jumatatu itasitisha safari za ndege kuingia nchini humo kwa muda wa wiki mbili.
Hatua hiyo ni kutokana na aina mpya ya virusi vya corona...
Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kuwa itaanza kutoa dozi ya tatu kwa wazee na wale ambao wana maradhinyemelezi kuanzia leo Jumanne.
Wizara hiyo inasema utekelezaji huo utafanywa kwa awamu na...
Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika.
Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko...
Wakati idadi ya nchi zinazotangaza marufuku ya safari za ndege kwa mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiongezeka kutokana na hofu ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 vya Omicron, shirika la afya la...
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.
"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."
"Omicron" ndiyo...
Kirusi cha COVID19 aina ya Omicron kilichogundulika Afrika Kusini ambacho awali kilitambulika kama B.1.1.529 kimeonekana hatari zaidi ya virusi vilivyotangulia
Ili kupambana na kirusi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.