International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Mji huo umeondoa marufuku iliyowekwa kudhibiti mizunguko ya mwisho wa wiki, na kuruhusu Migahawa na Masoko kufunguliwa kutokana na maambukizi kupungua. Hata hivyo, Shule bado zitaendelea kufungwa...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Korea Kusini imerekodi maambukizi zaidi ya 13,000 kwa mara ya kwanza, huku Mamlaka zikionya Kirusi cha Corona aina ya Omicron kinaweza kuchangia hadi 90% ya maambukizi mapya katika wiki zijazo...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Wizara ya Afya ya Israel imesema watu wa umri wa miaka 60 na kuendelea waliopata chanjo ya nne wameonesha kuwa na kinga kuliko waliopata chanjo tatu. Watu waliopata chanjo tatu wameonekana...
0 Reactions
6 Replies
931 Views
Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Barani Afrika kimetaka Chanjo za COVID-19 zinazotolewa kuwa na muda wa matumizi kati ya miezi mitatu hadi sita ili Mataifa yaweze kupanga usambazaji...
1 Reactions
3 Replies
766 Views
MADRID (AP) — When the coronavirus pandemic was first declared, Spaniards were ordered to stay home for more than three months. For weeks, they were not allowed outside even for exercise. Children...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi. Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba na Puma katika mbuga ya kuhifadhia wanyamaporinchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wamiliki wao, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi katika chuo...
2 Reactions
10 Replies
906 Views
Idadi hiyo ya maambukizi imetajwa kuwa kubwa zaidi kurekodiwa tangu kuanza Mlipuko wa COVID-19, pia Vifo vipya 239 vimerekodiwa kwa mujibu wa Takwimu za Taasisi ya Robert Tech (RKI). Jumla ya...
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amewaonya Viongozi wa Mataifa kuwa mlipuko wa Virusi vya Corona haujaisha. Amesema kwa wiki iliyopita pekee, Kirusi cha...
2 Reactions
6 Replies
995 Views
Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa...
0 Reactions
3 Replies
875 Views
LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and...
0 Reactions
6 Replies
797 Views
Hivi karibuni, Nigeria iliteketeza dozi milioni 1.06 za chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca iliyokwisha muda wake. Wakati virusi vipya vya Corona Omicron vinaenea haraka duniani kote, jambo hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfalme wa Kisiwa cha Ijwi huko Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anasema Wanyarwanda zaidi ya 100 waliokuwa wamekimbia nchi yao kukwepa chanjo ya Covid-19 walirejeshwa nchini...
1 Reactions
1 Replies
998 Views
Shirika la Afya Ulimwenguni limeonya kwamba nusu ya bara Uropa itakuwa imeambukizwa kirusi cha Covid -Omicron ndani ya wiki sita hadi nane zijazo. Dk Hans Kluge alisema "wimbi la kutokea...
1 Reactions
3 Replies
820 Views
Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
MADAKTARI 11 wamemwandikia barua ya wazi Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo kutoa mwongozo ikiwezekana kusitisha usambazaji wa chanjo za corona kwa ajili ya kupambana na janga la corona...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Visa Milioni 9.5 vimeripotiwa ulimwenguni Wiki iliyopita, ikiwa ni ongezeko la 71%. Japokuwa Kirusi cha Omicron kimeonekana kutosababisha makali kama Delta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo Mbali na marufuku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom