Chanjo ya Moderna ya COVID-19 inafanya kazi kwa watoto wachanga, wanaokua, na watoto wa chekechea, kampuni hiyo ilitangaza Jumatano maendeleo ambayo yanaweza kufungua njia kwa watoto wadogo kupata...
Aliyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo.
Obama ametangaza kuwa na maambukizi hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vita kati ya Urusi na Ukraine vitazidisha madhara ya COVID-19 kwa kuwa juhudi za kupambana na Corona zinasahaulika.
Japo maambukizi yamepungua nchini...
Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya...
Mamlaka ya afya ya Afrika Kusini ilisema Ijumaa kamba takriban dozi 100,000 za chanjo ya Pfizer ya COVID-19 ziko katika hatari ya kuharibiwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na watu...
Nchi za Umoja wa Ulaya zimekubaliana kurahisisha safari za watalii waliochanjwa dhidi ya Covid-19 au waliougua na kupona ugonjwa huo.
Baraza la umoja huo wenye wanachama 27 limependekeza kuwa...
Iran imerudisha dozi 820,000 za chanjo ya virusi vya corona iliyotolewa kama msaada na Poland kwa sababu ilitengenezwa Marekani.
Televisheni ya taifa siku ya Jumatatu ilimnukuu Mohammad Hashemi...
Kansela Olaf Scholz amesema Ujerumani italegeza Kanuni hizo kufuatia Wimbi la Maambukizi kutokana na Kirusi cha Omicron kuonekana kupita kilele chake
Hata hivyo, ameonya Mlipuko bado haujaisha...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Maambukizi vya Virusi vya Corona yamepungua kwa 19% Wiki iliyopita ikielezwa Visa vipya vipatavyo Milioni 16 na Vifo 75,000 viliripotiwa kuanzia Februari 7...
Norway imesema inaondoa vizuizi vyote vya kupambana na janga la COVID 19, kwa sababu haioni kitisho kikubwa cha afya kwa raia wake kutokana na janga hilo, licha ya kwamba kirusi cha Omicron bado...
Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado...
Polisi kwenye Mji mkuu wa Canada wamepambana vikali na waandamanaji wanaopinga masharti ya kuchanja chanjo ya covid kwa lazima.
My take
Tuendelee na zoezi la kuchanja kwa hiari,tusilazimishane.
China imesema Jumanne kwamba itaalika watazamaji zaidi kwenye michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inayoendelea mjini Beijing kutokana na fanaka kubwa ya kudhibiti maambukizi ya Corona kwenye...
Huduma za Msingi za Afya zikiwemo programu za Chanjo na matibabu ya magonjwa kama UKIMWI ziliripotiwa kuathiriwa kwa 92% katika Nchi 129.
Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu athari za...
Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21...
Kampuni ya nchini Ujerumani ya teknolojia ya biolojia - BioNTech pamoja na mshirika wake wa kimarekani, Pfizer, wameomba kibali cha dharura nchini Marekani, cha matumizi ya chanjo dhidi ya virusi...
Recently the Prime Minister of the United Kingdom, Boris Johnson announced that the country is dropping all COVID restrictions, including the mandatory COVID passes.
The prime minister said masks...
Denmark leo imekuwa moja ya mataifa ya mwanzo barani Ulaya kuondoa karibu vizuizi vyote vya kukabiliana na janga la Covid-19 baada ya taifa hilo la kanda ya Scandinavia kusema maradhi hayo siyo...
UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon.
Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya...
Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya chini ya Mataifa masikini zaidi duniani yalichangia vifo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.