Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga...
Mwanamke mjamzito nchini Israel ambaye hakupata chanjo ya corona amegundulika kuwa na mchanganyo wa mafua(flu) na corona ambayo yanaitwa 'Flurona'
Mchanganyo wa magonjwa hayo umetajwa kuwa hatari...
Watu wenye umri wa kuanzia miaka 60 wameanza kupewa 'booster' ya pili ambayo inafanya iwe chanjo ya nne ya #COVID19
Misululu ya watu imeonekana katika Vituo vya Afya mjini Tel Aviv ili kupata...
Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza...
Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000
Pia, Serikali...
Fadhili Mpunji
Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa...
Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema leo kwamba athari inayotokana na aina mpya ya kirusi cha Omicron bado iko juu baada ya idadi ya maambukizo ya virusi vya corona kuongezeka kwa asilimia 11...
Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia...
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya leo imepitisha sheria ambazo zitafanya cheti cha covid-19 cha Umoja huo kuwa halali kwa usafiri miezi tisa baada ya kukamilika kwa ratiba ya kimsingi ya chanjo...
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron.
Nchi...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Chanjo dhidi ya COVID19 ambazo tayari zipo bado zinapaswa kuwalinda watu wanaopata maambukizi ya Kirusi cha Omicron, na hakuna dalili aina hiyo mpya inakataa...
Wizara ya Afya ya India imeripoti kuwa na jumla ya maambukizi 200 ya Omicron na maambukizi ya aina nyingine za COVID-19 yakiwa 5,326 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita
Aidha vifo vipya 453...
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali.
Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya...
Maafisa nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya dola$3,500 (£2,600) kwa kila msafiri.
Makamouni ya ndege...
Austria imeondoa leo vizuizi kwa watu waliopata chanjo kote nchini humo, wiki tatu baada ya kutangaza upya masharti makali ya kupambana na kupanda kwa wimbi la maambukizi ya virusi vya corona...
Bunge la Ujerumani limepiga kura kuifanya chanjo dhidi ya virusi vya corona kuwa sharti la kisheria kwa wafanyakazi wa sekta ya afya kuanzia mwezi Machi mwaka ujao. Muswada wa sheria hiyo...
Serikali ya Ghana imesema kwamba wasafiri wote wanaoingia nchini humo kuanzia saa sita usiku jumapili hii, wanastahili kuwa wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona.
Wizara ya huduma za afya...
Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza...
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa inayohusika na amani SIPRI inasema watengenezaji wakubwa wa silaha duniani kwa kiasi kikubwa waliepuka anguko la kiuchumi lililosababishwa na janga la Covid-19...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.