Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa...
Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya...
Hali ya COVID 19 Kwa kiwango kikubwa imeendelea kupungua. Na ndio maana wenye kukumbwa sana na janga hili wameendekea kutafiti na kuweka kumbukumbu mzuri zinazowasaidia kuwa na maamuzi.
Kuanzia...
Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani...
Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2
Rais wa...
Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang.
Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un...
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amewashutumu baadhi ya Viongozi wa Serikali kwa kwa kuwa na mitazamo hasi na kuonesha uzembe wakati huu ambapo Taifa hilo limethibitisha maambukizi
Tangu...
Katika vitu vilivyompa wakati Mgumu Trump, ni jinsi alivyoshughuliia Covid-19, Democrats walimshukia hatari kinoma.
Joe Biden kwenye kampeni alisema " any one who is responsible to these many...
Vifo vipya 21 vimeripotiwa huku ikielezwa watu wengine walikuwa na dalili za Homa. Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong Un amesema mlipuko wa COVID-19 umeiweka Nchi katika machafuko makubwa.
Korea...
Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo...
Korea Kaskazini imegundua kisa cha kwanza kabisa cha maambukizi ya Covid-19, kulingana na vyombo vya habari vya serikali, ambavyo viliita hali hiyo "dharura kuu ya kitaifa."
Imeripotiwa kuwa...
Mtendaji wa Kampuni hiyo ambayo iliingia mkataba wa kufungasha, kuuza na kusambaza chanjo ya Johnson & Johnson barani Afrika amesema kuwa wapo mbioni kufunga kwa kuwa hawajapokea oda yoyote kwa...
Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao.
Licha ya maambukizi...
China imeweka hatua kadhaa za 'Lockdown' katika Miji mikubwa ya Beijing na Shanghai yenye mchango mkubwa katika Uchumi wa Nchi hiyo, ikiwa ni jitihada za kudhibiti Milipuko wa Virusi vya Corona...
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki...
Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini...
Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus …
=======
(CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip...
Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo.
Takwimu hizo ni kwa...
Inaelezwa kuwa mbili ya tatu ya watu waliopo Afrika wameambukizwa Ugonjwa wa Uviko-19 ndani ya miaka miwili, ikiwa ni mara 97 ya takwimu zilizoripotiwa na mamlaka husika. Takwimu hizo ni kwa...
China imetangaza maambukizi mapya 13,146 ya #COVID19 ambayo yametajwa kuwa ni makubwa kuliko yaliyowahi kuripotiwa tangu Februari 2020
Kirusi cha Omicron kimesambaa majimbo mengi. Maelfu ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.