Maduka, Migahawa na Shule za Mji Mkuu wa Urusi, Moscow zimefungwa wakati Taifa hilo likikabiliwa na ongezeko la maambukizi na vifo vinavyotokana na Covid-19. Maduka ya bidhaa muhimu na yale ya...
Takwimu mpya kutoka kwa shirika la Umoja wa taifa la wafanyakazi ILO zinaonyesha kwamba sekta ya ajira imekuwa na kasi ndogo katika kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya janga la Covid 19...
Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona.
Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe...
Serikali ya China imetangaza kufunga shughuli zote za kawaida kwenye mji wa watu takribani milioni 4, wa Lanzhou na kuaamuru watu kutotoka nje isipokuwa kwa dharura, ikiwa ni jitihada ya kumaliza...
Shirika la Afya Ulimwenguni - WHO limetoa wito kwa nchi tajiri kuachana na usambazaji wa chanjo za virusi vya corona kwa faida ya nchi maskini.
Akizungumza katika Mkutano wa Kilele wa Afya...
Wakuu hii habari nimeisoma Yahoo, na nimeC&P baadhi ya habari yenyewe
======
Jennifer Lopez, 58, had jumped at the chance to get the Johnson & Johnson vaccine last March, but soon began feeling...
Pfizer-BioNTech wamesema utafiti umeonesha ufanisi wa dozi ya tatu ambayo ni ya ku-boost chanjo ni 95.6% ambapo huweza kudhibiti hadi virusi vya Delta
Dozi mbili za awali zina ufanisi wa 84%...
Uingereza imerekodi takribani maambukizi mapya laki 5 kwa wiki mbili zilizopita, na vifo 223 vimerekodiwa Oktoba, 19 idadi kubwa kurekodiwa tangu mwezi Machi
Uingereza imeongoza kwa maambukizi...
Misri itawazuia wafanyikazi wa umma ambao hawajachanjwa dhidi ya kuingia katika majengo ya serikali kutoka katikati ya mwezi ujao.
Ilani ya baraza la mawaziri Jumapili ilisema wafanyikazi...
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa...
Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba
Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya...
Serikali ya Uingereza hivi karibuni imetoa muongozo mpya wa udhibitishaji wa Covid19 nchini humo kwa kuongeza masharti kwa baadhi ya a nchi/wananchi watakaotembelea nchi hiyo.
===
Uingereza...
Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya...
Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus.
Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka...
Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea...
Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba watengenezaji wa chanjo ya Moderna wamekuwa wakitoa chanjo zao kwa mataifa tajiri tu.
Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba...
Waendesha mashtaka nchini Misri wametoa amri ya watu watatu kukamatwa baada ya maelfu ya dozi za chanjo za corona kutupwa katika mji wa Minya, ambao uko kilomita 200 kutoka kusini mwa mji wa...
Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko
Brazil...
Umoja wa Mataifa umesema fedha hizo zinahitajika kuhakikisha Chanjo dhidi ya CoronaVirus zinasambazwa kwa usawa duniani kote ili kutoa fursa kwa Nchi zote kupambana na janga hilo ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.