Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya...
Kundi la Wanasayansi wa Kimataifa limesema Chanjo za nyongeza (Booster shots) dhidi ya Virusi vya Corona hazihitajiki kwa Umma katika hatua hii ya mlipuko na ushahidi zaidi unahitajika...
Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua.
Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na...
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu...
Mamlaka za afya nchini Malawi Jumatano zimesema kwamba kusita kwa watu kupokea chanjo za Covid nchini humo huenda kukapelekea maelfu ya dozi kuharibika ifikapo mwanzoni mwa mwezi ujao.
Kufikia...
Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu.
Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha...
Rais wa Marekani Joe Biden
Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi jioni amekashifu wanaopinga chanjo ya Covid hapa Marekani, wakati akitangaza kanuni mpya ambazo zinawataka karibu wafanyakazi wote...
After Portugal, now Sweden has become the second European nation to ban travellers from the most vaccinated nation Israel. Sweden also banned the entry of citizens from the United States, Kosovo...
Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya...
Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa.
Kutokana na covid...
Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19 na kusambaza virusi vya Corona.
Mahakama imemkuta na hatia...
Jamhuri ya kidemokrasia yaCongo imepokeadozi250,000 za chanjo ya Corona aina yaModerna.
Ni mara ya kwanza DRC kupokea chanjo nyingine isioyokuwa ya AstraZeneca.
Rais wa DRC, Felix Tshisekedi...
Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi...
Rais wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amesema Umoja huo umefanikiwa kuwapa chanjo kamili asilimia 70 ya watu ambao ni zaidi ya watu milioni 250 ndani ya Umoja huo. Katika...
Rais wa Botswana amemsimamisha kazi kwa mwezi mmoja Waziri Msaidizi wa Afya, Sethomo Lelatisitswe, kwa kukiuka taratibu zilizowekwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID19.
Serikali Nchini humo...
Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19
Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza...
Japan ilisitisha utumiaji wa dozi karibu milioni 1.63 za chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani ya Moderna dhidi ya corona (covid-19) baada ya vitu visivyojulikana kugunduliwa...
A Texas man who had organized a “Freedom Rally” in protest of COVID-19 restriction is now on a ventilator after becoming infected with COVID, according to his pregnant wife.
On Wednesday, Jessica...
Kwa mara ya kwanza tangu mlipuko wa Virusi vya Corona kuanza, Taifa hilo limerekodi visa vipya zaidi ya 1,000 huku Hospitali mbili ambazo ni kubwa zaidi Jijini Sydney zikiweka mahema nje ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.