As coronavirus cases climb worryingly across the United States, a recent study shows that the number of children contracting the virus "steadily increased" in July.
In the last week alone...
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa, watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, Mtoto mmoja kati ya wanne ndiye mwenye kutumia Vifaa vya Kidigitali na Mtandao.
Imeelezwa, Familia nyingi zimeuza mali zao au...
Meya wa Jijini New York, Bill de Blasio ametangaza zuio la kuingia sehemu za mazoezi na migahawa.
Amesema wasiochanjwa hawataweza kushiriki katika shughuli nyingi.
Sera hii itaanza kufanya kazi...
Japan inatarajia kubadili Sera ili kuweka kipaumbele katika kulaza Wagonjwa wa COVID19 wanaoumwa sana ili kuepuka kudhoofisha Mfumo wa Afya.
Hivi sasa Taifa hilo linarekodi zaidi ya visa 10,000...
Jiji la Wuhan Nchini China ambalo liliripoti mlipuko wa CoronaVirus kwa mara ya kwanza mwaka 2019 litawafanyia vipimo wakazi wote baada ya maambukizi kuripotiwa.
Mamlaka zimehusisha visa hivyo na...
UK experts are set to recommend all 16 and 17-year-olds should be offered a Covid vaccine, the BBC has been told.
The Joint Committee on Vaccination and Immunisation stopped short of making the...
Kulingana na taarifa ya South China Morning Post, ili kuzuia kuenea kwa virusi aina ya Delta vya Kovid-19 huko Beijing, baadhi ya ndege za kwenda jijini pamoja na huduma za treni na mabasi...
America has had 35,039,644 confirmed cases, which is about 18% of the world total, despite large surges in high population countries such as Brazil, India and Indonesia. The number of U.S. fatal...
Kampuni za Pfizer-BioNTech na Moderna ziliongeza bei zao za chanjo ya corona katika makubaliano ya hivi karibuni na Jumuiya ya Ulaya (EU).
Kulingana na Financial Times, bei ya dozi 1 ya chanjo ya...
Waziri wa Afya wa Iran, Saeed Namaki amesema Wimbi la Tano la Virusi vya Corona ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na Kirusi aina ya Delta linaweza kuwa baya zaidi endapo hatua hazitachukuliwa...
Tuacheni kudanganya watu hii imetoka kwenye takwimu
---
Less than 1% of fully vaccinated people experienced a breakthrough infection, according to a Kaiser Family Foundation analysis of official...
Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19
100x2399= 239,900
hii ni kweli?
====
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema kuwa kesi za maambukizi ya virusi vya corona (Kovid-19) zinaongezeka tena ulimwenguni na ongezeko hili...
Raia wa Ufaransa maelfu kwa maelfu wameingia barabarani kupinga serikali ya nchi hiyo kuanzisha passport maalumu itakayotumika kuwatambulisha watu waliokubali kuchanjwa chanjo ya Corona, ikiwa ni...
waziri wa afya nchini humo, Dkt Thaddée Ndikumana amewaambia waandishi wa habari kuwa chanjo hizo zimependekezwa na Benki ya Dunia na wakachukua uamuzi wa ''kuzikaribisha''.
Aliongeza, hatahivyo...
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii inakuja...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta...
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii inakuja...
Janga la COVID-19 linaweza kumalizika katika kipindi cha miezi michache ijayo nchini Uingereza, chanjo ikiwa imepunguza sana hatari ya kusababisha kifo au kudhoofika kupita kiasi kutoka na virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.