Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko.
Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439...
Wakati jitihada za kuongeza kasi ya Chanjo zikiendelea Nchini humo, idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vya Corona imepita 400,000 huku Wataalamu wakionya namba halisi inaweza kuwa kubwa...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ulaya, Hans Kluge amesema Wimbi jipya la Maambukizi haliwezi kuepukika ikiwa Wananchi na Viongozi hawataendelea kuwa na nidhamu
Wiki iliyopita maambukizi...
Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko.
Kirusi Delta...
Nchi hiyo imeacha kutoa Dozi ya pili ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ili kutoa kipaumbele kwa wale ambao bado hawajapata Dozi ya kwanza.
Kutokana na upungufu, Serikali imesema itagawa...
Takriban nusu ya watu katika Taifa la Australia wametakiwa kutekeleza agizo la kukaa nyumbani huko Sydney, Brisbane, Perth, Darwin, Townsville na Gold Coast
Mamlaka zinafanya jitihada kudhibiti...
Urusi inakabiliwa na wimbi jipya la Corona Virus ambapo vifo 611 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita na kupelekea idadi ya waliofariki dunia kufikia 133,893.
Aidha, visa vipya 21,650...
Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki.
Ishara kuwa visa...
Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14
Aidha, Rais Cyril...
Ayatullah Khamenei apewa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat iliyotengenezwa hapa nchini
Ayatullah Khamenei apewa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran...
Habari wakuu,
Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja...
Mamlaka za Cuba zimesema majaribio ya Chanjo ya COVID-19 iitwayo Abdala yameonesha kuwa na ufanisi wa 92.28%
Chanjo ya Abdala inakamilika baada ya mtu kupata jumla ya dozi tatu. Takriban Raia...
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia
Kufuatia...
Shirika la Afya Duniani(WHO) limetangaza kuanzisha kituo cha kutengeneza chanjo za #COVID19 zinazotumia mRNA Afrika Kusini
Kituo hicho kitasaidia kuwapa utaalamu na leseni kampuni za Uchumi wa...
Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi
Waziri wa...
Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo
Maelfu...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema idadi ya watu waliolazimika kukimbia makazi yao duniani kwasababu ya mapigano na ukiukwaji wa Haki Za Binadamu imeongezeka...
Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake...
Health workers in public hospitals and other facilities across the country are struggling to attend to Covid-19 patients due to limited personal protective equipment (PPEs).
At least 2,299 health...
Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek umewekwa Lockdown kwa wiki 2 ambapo wananchi hawatoruhusiwa kuingia au kutoka kufuatia ongezeko la maambukizi na vifo vya COVID19
Mbali na hayo, mauzo ya pombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.