Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya...
Balozi wa afrika kusini anafukuzwa kutoka nchini USA kwa sababu serikali yake ya kikomunisti inabagua na kutenga Christians waliojenga South Afrika kwa gharama kubwa ya jasho na damu na kuleta...
My Take
Huu ni uhuni wa kiwango Cha Juu.
Hizo Nchi kama zitakubalo basi zifukuzwe AU.
https://x.com/Jambotv_/status/1900816488769921322?t=_8PsFiQmpHL713lhiUrqAA&s=19
Wanaukumbi.
🚨🇺🇸🇿🇦 MAREKANI YAMFUKUZA BALOZI WA AFRIKA KUSINI KATIKA MGOGORO WA KIDIPLOMASIA
Waziri wa Mambo ya Nje Rubio amemfukuza rasmi balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool...
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya...
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!
Kwa sasa China...
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha...
Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD
Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza
Hali ya sasa ilivyo sasa
In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest...
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa...
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano...
Wanakumbi.
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud...
Kutokana na kasi ya kundi la M23 kujiokotea maeneo huko Kivu kasikazini,
Mgodi wa ALPHA MINE ambao ni mali ya serikali ya Canada, umefunga milango kwa kinachoitwa kwa muda.
Mpaka sasa...
Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa...
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa...
12 March 2025
Kampala
Picha : rais Salva Kiir na makamu wa kwanza wa rais Dr. Rick Machar
Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Uganda jenerali Kainerugaba Muhoozi athibitisha askari wa vikosi maalum...
Mahakama Malawi yaamuru Nabii Shepherd Bushiri na mkewe kurejeshwa Afrika Kusini
Mahakama Kuu nchini Malawi imetoa uamuzi leo wa kurejeshwa kwa Nabii na Mchungaji maarufu raia wa Malawi, Shepherd...
Naunga mkono Kujitoa kwake Kwa sababu huyo Felix Tchisekedi ameona hawana maana na alikataa mazungumzo na M23/Rwanda ila Sasa ameenda Angola kujibembeleza.
Ngoja tuone mwisho.
Felix Tchisekedi...