M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu.
Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa.
Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi...
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka...
Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo.
Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say
By Reuters
February 14, 202512:25 PM...
John Bolton mshauri wa masuala ya usalama na ulinzi wa marais wengi wa Marekani na mtu mwenye misimamo mikali ya kivita amelaani vikali Trump kuisalimisha Ukraine kwa Russia kabla hata mazungumzo...
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.
Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya...
Marais na wawakilishi wao waliokaa Dar es salaam tarehe 08 Febuari kujadili amani ya Kongo ni bure kabisa. Nilisema hili mapema kabisa ingawa baadhi ya watu waliniona niko wrong lakini sasa...
https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s
Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza...
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa...
Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine.
"Urusi...
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana!
Haya...
Rais wa Liberia, Joseph Boakai, amewasimamisha kazi maafisa wa serikali wasiopungua 450, wakiwemo mawaziri kwa kushindwa kubainisha mali zao kwa tume ya kupambana na ufisadi (LACC)
Kwa mujibu wa...
Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),
Mamlaka ya DR Congo...
Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa.
Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut
===============
Iran’s IRGC Quds Force has...
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office.
Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae...
U.S. Senate CONFIRMS Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services
Hal Turner World February 13, 2025
By a Vote of 52 to 48, the United States Senate has CONFIRMED the nomination...
Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea....
Nina uhakika...