Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali...
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi...
Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa...
Wabunge wa Republican wamsihi Trump kuzingatia maamuzi ya mahakama za shirikisho
Na Alexander Bolton | 12 Februari 2025 |
Wabunge wa Senati kutoka chama cha Republican (GOP) wanamhimiza Rais...
Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka,
Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo,
Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe...
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea...
Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda...
Wanakataa kuonekana kama wasaliti kwa waarabu wenzao kwa kukubali wahamishe i.e kuwafavor wazayuni
Wao wenyewe hawana maeneo ya kutosha ( hii sio kubwa sana)
Strong one: wanajua Israel...
Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu
Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati...
Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
Ninaomba tusimuongelee mwalimu Nyerere kwa maana yeye nafasi yake kwa Afrika haina...
Habari Wakuu!
Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37.
Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987...
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati...
Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali...
Angola imerekodi visa 3,402 vya kipindupindu na vifo 114 tangu mlipuko huo uanze mapema Januari, kulingana na taarifa ya kila siku ya Wizara ya Afya kwa vyombo vya habari jana (Jumanne).
Tangu...
USA is the land of immigrants, they came from all over the world. When they were few it was normal, but now, as population increase, the expansion among communities is visibly noted.
The only...
Wakuu,
Kama unafuatilia uchaguzi unaoendelea nchini Marekani basi bila shaka utakuwa umemuona Bilionea Elon akiwa bega kwa bega na Donald ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani...
Huyu bwana Trump Rais wa marekani wakati wa kampeni zake kabla hajawa Rais wa marekani mara kadhaa alikuwa akisema ataiwekea China tarriffs za 60% kwa bidhaa zote zitokazo China.
Jambo la...