SEHEMU ya I
"Inshu ya Banyamulenge, ni kisingizio tu! Ni kitu ambacho hakipo. Iliisha mwaka 2002". Anasema Nyamwasa.
Baada ya vifo vya wanajeshi wa Afrika kusini kufia vitani nchini DRC...
Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa...
Huyu waziri mkuu wa Hungary ananikumbusha Bernard Membe alivyojiunga ACT akafanywa mgombea urais halafu akawa hafanyi kampeni anapiga ruti za Dubai tu na akagoma kujiuzulu pale chama chake...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast...
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo Mimi ni maneno ya Kiongozi Mkuu waasi congo kamanda nangaa alihojiwa karibuni
Anasema kuwa malengo yao ya kivita yatatimia kwa kuitwaa kishansha na kuwa wamejiandaa...
Jasusi yupo Dar na Goma virtually akifuatilia yanayoendelea, na ataendelea kukujuza from time to time...lakini leo tuangazie mkutano wa SADC / EAC wa Dar es Salaam...
Kumbe serikali ya DRC ikitumia njia ya vita haiwezi kuvimaliza vita vya mashariki dhidi ya M23 bali mazungumzo, kwa sababu M23 hawapo tayari kuondoka Mashariki ya DRC kwa sababu wanaichukulia ni...
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa...
Mgogoro wa Congo DR hatuhitaji mazungumzo ili kupata suluhu,
Maadui wa Congo DR ni wajumbe wa huo mkutano ni wazi kuwa ni Kagame na Mseveni, Sasa hawa ndo wapo kinafiki ati wanashauri mbinu za...
Vladimir Putin is forcing wounded Russian soldiers back to battle on crutches as the Kremlin lost a staggering 48,000 troops last month alone.
New images have emerged showing exhausted and...
Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20...
Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi...
Rais Donald Trump alisema Ijumaa kwamba Elon Musk na timu yake ya Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE) watachunguza kwa karibu matumizi ya Pentagon ili kutafuta uwezekano wa upotevu wa fedha na...
Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za...
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu...
Alliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast...
Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Kuuawa kwa wanajeshi hao katika...