Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao.
Kikosi hicho...
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Umoja wa Mataifa nchini Congo, MONUSCO, limekili kuiunga mkono serikali ya DRC katika mapigano yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
MONUSCO ilikuwa na...
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.
Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua...
Wanaukumbi.
Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025:
1-Soldier Karina Arif...
Picha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amemwonya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kumaliza "vita vya kipuuzi" nchini Ukraine au akabiliwe na ushuru mkubwa na vikwazo zaidi.
Kupitia jukwaa lake la Truth...
Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi...
Haiwezekani mwanaume awe ametumia miaka mingi kujenga utajiri wake, kisha mwanamke aingie kwenye ndoa, afanye madudu, na mwisho wa siku atoke na nusu ya mali za mwanaume huyo utawekwa utaratibu...
Hapo jana, katika eneo alipouliwa Generali Chirimwami, lililokuwa mikononi mwa SAMIRDC na MONUSCO, M23 iliwafukuza na kuwasogeza nyuma. Kundi la FDLR chini ya uongozi wa General OMEGA, na lenyewe...
Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana...
Kupambania Uhuru wenu na Utamaduni wenu kwenye Nchi kubwa na yenya Nguvu kama China ni swala ambalo haiwezekani .Tibet Wameshindwa na pia Taiwani na Hong Kong walio na Maendeleo kushinda Tibet nao...
Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka...
Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi...
Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea.
Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za...
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka...
Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani.
Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia...
Waafrika dini zetu kuu ni 2, Uislam na Ukristo. Japo dini mbili hizi zinatofautiana ila misingi yake mikuu ni kuleta amani na upendo baina ya watu na si vingine. So kimsingi mifumo yetu ya...