Wadau hamjamboni nyote?
Dereva aliua watu wasiopungua wawili alipovamia Kwa kubamiza gari kwenye umati mkubwa wa watu waliokuwa wakisherehekea katika soko la Krismasi katika mji wa Magdeburg...
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua...
Kimbunga Chido kimeua watu 94 nchini Msumbiji tangu kilipotua katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki wiki iliyopita, mamlaka za ndani zimesema.
Taasisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga...
Hezbollah waliwawekea mtego wakaingia wakawaangamiza papo hapo video inaonyesha maiti zikibebwa kwa helkopter ya kijeshi
[emoji298]️What happened today morning in South Lebanon?
A clash occurred...
Wadau hamjamboni nyote?
Rasmi Kiongozi Mkuu mpya wa Syria baada ya mazungumzo na WAMAREKANI ijumaa meonyesha ushirikiano mkubwa mkubwa hivyo Serikali tukufu ya Marekani imefuta rasmi ahadi yake...
Idadi ya vifo kutokana na kukanyagana wakati wa hafla mbili za kutoa misaada ya Krismasi nchini Nigeria imeongezeka kutoka 13 hadi 32, polisi walisema Jumapili.
Waathiriwa, wakiwemo watoto...
Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako...
Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town...
Moderator saidia kurekebisha kichwa cha habari tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Jamil Hassan almaarufu the butcher au mchinjaji
Aliongoza kikosi maalumu Air Force Intelligence kikihusika na...
Imeelezwa kuwa waziri mkuu wa Slovak anajiandaa kufanya ziara wiki ijayo Russia kukutana na Putin kuzungumzia suala la usambazaji wa Gesi nchini kwake.
Mkataba wa sasa wa kupeleka Gesi...
Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa...
Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen
Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa...
Last month i talked about one of the most carefully guarded of all intelligence secrets,the existence of russian robotoids. As i explained last month,they are the key factor in understanding...
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.
Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.
Basi tambua kuwa hawa watu hata...
Hizi ni habari motomoto kutoka Kwa makamanda mashujaa wasio na hofu yeyote.
Niwatakie sabato njema
December 21, 2024
Following the missile attack on Tel Aviv, Houthi official Hezam al-Asad has...
Something big is cooking.
The judges canceled Netanyahu’s testimony tomorrow because of a special security event.
The Houthis in Yemen are about to find out that they messed with the wrong...
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
===========
December 11, 2024
Tomb of Assad’s father set on fire in Syria hometown
Rebel fighters stand next to the burning gravesite of Syria's late...
Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais...