International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Baba wa Taifa la Sangapore LeeKuan Yew aliposhinda uchaguzi mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 1959 alikuta nchi ipo katika hali mbaya sana katika huduma za Afya,Elimu,Rushwa na...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam Jamani, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kuna mambo ni mpaka nimeanza kuogopa, wiki 4 zilizopita Trump alimtania Canada Pm kwa kumwita Gavernor wa great state of Canada eti kwamba...
5 Reactions
12 Replies
976 Views
Kwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah...
3 Reactions
8 Replies
785 Views
Wadau hamjamboni nyote? Chanzo cha usalama cha Israel ambacho hakikutajwa jina kilichotajwa na Redio ya Jeshi kinasema kuwa tukio la kuchomwa moto na uharibifu wa msikiti katika mji wa Marda...
2 Reactions
8 Replies
570 Views
Sarafu ya Iran yashuka hadi chini kabisa huku kukiwa na mvutano kati yake na Marekani na Ulaya. Sarafu ya Iran iliendelea kuporomoka siku ya Jumamosi, na kudorora zaidi dhidi ya dola ya Marekani...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA. Kanunuliwa, yuko mfukoni. Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika. Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
11 Reactions
150 Replies
5K Views
Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo...
5 Reactions
8 Replies
706 Views
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati? Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile...
15 Reactions
114 Replies
4K Views
Marekani imetangaza vikwazo kwa kampuni mbalimbali zilizohusika kwenye ujenzi wa bomba la gesi la Nordstream 2 lililokuwa likisafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya magharibi kabla ya kulipuliwa...
0 Reactions
5 Replies
588 Views
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa...
15 Reactions
32 Replies
873 Views
Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince...
19 Reactions
158 Replies
6K Views
Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear...
45 Reactions
366 Replies
10K Views
Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia...
0 Reactions
8 Replies
969 Views
"Mustakabali wa akili bandia barani Afrika ni upi?" Wakati swali hili linaingizwa kwenye majukwaa kadhaa ya akili bandia mitandaoni, jibu lake huwa ni: "mustakabali wa akili bandia barani Afrika...
2 Reactions
3 Replies
344 Views
Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi...
1 Reactions
8 Replies
355 Views
Niende kwenye mada . Swali ambalo nimeanza kujiuliza hivi karibuni, ni nini faida ya kuwa na AU kwa sasa hapa Afrika. Kwanza fedha tu za kujiendesha AU zinatolewa kwa asilimia kubwa na Umoja wa...
3 Reactions
10 Replies
350 Views
Habari, Zamoto baada ya matukio matatu ya magaidi kuua Raia Urusi na jingine kumuua kiongozi mkubwa wa Jeshi basi Rais Putin ameapa na kusema atalipiza kisasi kwanjia yake ambayo itaishtua Dunia...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Wawakilishi ambaye yupo kwenye mvutano wa Kisiasa, amehojiwa na Polisi baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya Bunge la taifa hilo la Afrika Magharibi Moto huo umeharibu...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…