Wadau hamjamboni nyote?
IDF kwa sasa haina mpango kabisa wa kuondoka kwenye vilele vya mlima mrefu kabisa wa Hermon huko Syria hadi hapo hali ya usalama itakapokuwa nzuri!
Taarifa kamili hapo...
Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu...
Mtu inabidi amwambie huyu Papa feki kwamba Yesu alizaliwa, alilelewa, aliishi na alikufa kama myahudi aliyeishi Judea.
======================================
Pope Francis unveiled the annual...
Na wote kila mmoja anaamini anayafanya kwa ajili ya yule mungu wao kwenye dini yao....
At least 127 people, mostly civilians, were killed in Sudan on Monday and Tuesday by barrel bombs and...
Wapiganaji 100 wa Hamas wamekamatwa Leo na jeshi la Israel IDF. Kwa Sasa wapo Chini ya ulinzi. Haya yanatokea baada ya kuonekana wapiganiji wa Hamas wamo ndani ya Hospitali huko Gaza.
Ndipo...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha
Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la...
srael has confirmed its involvement in the abduction of Lebanese national Imad Amhaz. The Israeli Army Radio reported that the operation was planned well in advance, awaiting the right moment for...
Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetoa maamuzi kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu hawezi kuwania tena kiti cha Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2026 kwa kuwa tayari amehudumu mihula...
Niaje niaje, katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.
Hii...
Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si...
Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki.
Hata hivyo girlfriend huyo wa...
Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake, ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
Wadau hamjamboni nyote?
Nafarijika nikisoma maneno hayo...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
December 12, 2024
Pope meets PA’s Abbas at the Vatican for first time in three years
By Agencies and ToI Staff
Today, 2:59 pm
Pope Francis...
Amani kwenu watumishi
Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua
Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa...
Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka.
Source: Visegrad24 X account
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Urusi vimethibitisha kuwa Kiongozi wa waasi huko Syria baada ya majadiliano ya muda amekubaliana na serikali ya Urusi kuendelea kutekeleza majukumu yake nchini...
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.
Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au...
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) hivi karibuni liliamua kuorodhesha Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kwenye mali za urithi za kiutamduni za bindamu...