International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Israeli imefanya la kustajaabisha huko Syria Imeshambulia ngome (bezi) za Syria kwa 80% kwa mashambulizi 250 ambayo yameharibu meli, ndege, vifaru na maghala yote ya makombora na silaha...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda. Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana...
0 Reactions
6 Replies
322 Views
Kwa Wayahudi, Nchi waloahidiwa, kihistoria inaenda mpaka kuchukua sehem za Syria,Jordan, Uturuki ,Misiri, Lebanoni. Mnaweza msiamini, ila Israel tayari ndo kaifuta Palestina, Baada ya Trump...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Wizara ya Katiba na Sheria imemwekea Rais Yoon Suk Yeol, zuio la kutosafiri nje ya nchi hiyo kwa maelezo kuwa inachunguza madai ya Uasi yaliyoambatana na Amri ya kuiweka nchi chini y Utawala wa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa...
1 Reactions
9 Replies
862 Views
Katika hali ambayo inaonesha kuwa ni kudhibiti bidhaa za China nchini Russia. Serikali ya Putin imeongeza kodi ya bidhaa za China ili kulinda bidhaa zake. Jambo ambalo limeshtua kidogo watu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI. Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah...
47 Reactions
82 Replies
4K Views
Kiongozi wa waasi, Abu Mohammed al Jolani, ambaye kundi lake lilikuwa kitovu cha mashambulizi ya muda mfupi yaliyomaliza miongo ya udikteta nchini Syria mwishoni mwa wiki hii, ametumia miaka mingi...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli? Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa...
29 Reactions
178 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni yangu binafsi kwa Rais wa Iran Naamini anakubalika na wote kuanzia mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini! Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima...
1 Reactions
11 Replies
632 Views
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa...
26 Reactions
74 Replies
4K Views
Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa. Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya...
10 Reactions
132 Replies
4K Views
Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN...
4 Reactions
101 Replies
5K Views
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa, jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo...
1 Reactions
47 Replies
1K Views
Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote...
2 Reactions
13 Replies
688 Views
Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina, Hilo jambo hakulifanya kamwe. Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha...
4 Reactions
10 Replies
448 Views
Russia walishaonesha kuwa hawawezi peleka wanajeshi kule Syria sababu nao wana kibarua kigumu na Ukraine. Irani wamekuwa paralysed na israel hasa kile kipigo cha mwisho cha ndege za kuendeshwa na...
4 Reactions
10 Replies
634 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…