Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu...
% kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelalamikia shambulizi la anga linaloshukiwa kufanywa na Israel, ambalo limepiga jengo la ghorofa katika kitongoji cha Mezzeh mjini Damascus na kusababisha vifo...
Amani iwe nanyi ndugu zangu
Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili...
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama...
Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni...
Afichua fununu za nia ovu za Rwanda
Asema hatuziamini, lakini hatuzipuuzi
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete, ameeleza kuhuzunishwa na jinsi serikali na viongozi wa Rwanda...
Wakuu,
Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya...
Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk
Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti?
Wajuzi mniambie kwann...
Wakuu,
Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.
Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara...
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI
Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza...
Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad.
Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu.
Kufikia wakati tunafika, mahali...
Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa.
---
Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la...
Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus.
Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa.
Ripoti za...
Wakuu,
Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria.
Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha.
Kwenye video...
Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba...
Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.
Huyu jamaa alikuwa anakula...
Baada ya 2015:, Game likaenda kuazishiwa Ukraine, then likahamishiwa October 7, 2023. Unaona kabsa jinsi gamela uvamizi lililofanywa na Hamas vile lietengenezwa. Haiingii akilini kwamba Shinbet...