Lakini wadau tusishabikie sana, ikumbukwe hao waasi pia ni makatili wa ile dini na wanaweza wakawa wabaya hata kuzidi wanaokimbia, yaani popote kwenye hiyo dini ni laana, mauaji, chuki na vifo...
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo...
Wazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani
Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada...
Wanajamii kwa jinsi mambo yanavyoenda napata wasiwasi inaweza kuwa Hamas na Hizbullah waliingizwa kingi na Mossad kufanya mashambulizi ya October 7 na 8 2023.
Kwanini nasema hivi:
Inawezekaa...
Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu!
Kwa nini Rais wa Israel...
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na...
Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na...
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha...
Wanaukumbi.
Thirty three Zionist captives were killed and some of them are missing, because of the criminal Netanyahu and his fascist army. By continuing your insane war, you may lose your...
SIo ile ya CHADEMA ikiongozwa na Maria Sarungi wakiwa Twitter kazi yao ni kurusha matusi tu. Kwa hali kama hii Lazima kielewea tutarajie lolote kutoka Korea muda mchache ujao.
Pope Francis has once again appealed to Catholic priests to keep their homilies short, this time warning that homilies should be no longer than eight minutes or “people will fall asleep.”...
Wakati Kiongozi wa kiroho wa katoliki akielekeza uzinduzi wa kanisa la Notre Dame akiwa Rome, kiongozi wa dini nyingine anaelekeza wafuasi wake wapigane vita syria akiwa Tehrani.
Hivi kiongozi wa...
Siku ya Leo muda sio mrefu, waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka mji wa Homs ikiwa ni baada ya Jana kuuchuka mji wa Hama. Kwa Sasa kazi iliyobakia ni kuchukua mji wa Damascus.
Mnamo Disemba 2 2024 , serikali ya kijeshi ya Mali inayoongozwa na Jenerali Assimi Goita ilitoa hati ya kukamatwa kwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kampuni ya Barrick Bwana Mark Bristow.
Mtendaji...
Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki.
Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani...
Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani,
Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF...
Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore inatarajia kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri na kuondoa adha wapatayo wanafunzi hasa waishio maeneo ya mijini...
Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi.
Tukio hili limetokea...
Baada ya jeshi la Waasi kuchukua mji wa Hama na kuteka Kambi ya kijeshi mjini humo.
Rais Bashar Al Assad ametangaza kuongeza mishahara ya jeshi lake kwa Asilimia 50% ili kuongeza morali...
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide)...