Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha...
Bunge limeidhinisha zuio la Watoto wenye chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Kura 103 dhidi ya 13, ikiwa ni uamuzi unaotajwa kuwa mgumu zaidi na ulioungwa mkono na Wananchi waliodai...
KAMPUNI ya Orano kutoka nchini Ufaransa imepata hasara kubwa kulingana na taarifa yake ya fedha ya nusu mwaka ( Januari hadi Juni 2024) iliyochapishwa na Yahoo Finance.
Taarifa hiyo inaonesha...
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka...
Iran’s Khamenei says death sentence should be issued for Netanyahu, not arrest warrant
A handout picture provided by the office of Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei shows him...
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.
Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study...
Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu:
"Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah...
Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?
Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au...
Bunge la Zimba limekumbwa na adha ya kukatika Umeme wakati Waziri wa Fedha, Mthuli Ncube akisoma Hotuba ya Bajeti na kuwaacha Rais Emmerson Mnangagwa na Makamu wake, Constantino Chiwenga wakiwa...
Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa...
Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa...
Baada ya Rais donald trump wa marekani kupost kwenye mtandao wake wa X kuwa bidhaa yeyote inayotoka canada,Mexico na china zitaanza kuliko ushuru wa 25% ya bidhaa izo kabla ya kuingia usa kitu...
Kuna mambo yanashangaza na kustajabisha, Israel inapopigana vita na upande mwingine sikumbuki ni lini aliomba mazungumzo ya kusitisha vita.
Ila ikitokea mapambano yanahamia upande wao ni wepesi...
Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon jana kwenye kikao cha UNGA. Adai hatokaa meza moja kuongea kuhusu amani hadi atakapoimaliza Hizbollah na kuwarudisha raia wa Galilaya...
Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan.
Siku vita hivi vikizuka kwa...
Wakuu,
Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.
Majaji wiki iliyopita...
Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani...
Former British army soldier Daniel Khalife has been found guilty of spying for Iran.
Khalife, who escaped prison while awaiting trial, collected information and passed it to Tehran and was found...