Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Natumai wote muwazima kwangu salama kabisa ila kuna jambo nimepata na nimeona kunahaja ya kubadilishana mawazo na kusaidia vijana wenzetu. Tatizo nikwamba mtu anaweza kuwa anafanya mapenzi vizuri...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana jf. Kwanza naomba niwatakie Heri ya X-Mass wote. Shida yangu ni moja tu. Nimeoa hivi karibuni na Mke wangu kwa bahati nzuri hv karibuni amefanikiwa kuwa pregnant. Sasa tatizo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF,Nina dada yangu ambaye ni mjamzito na mimba yake ina miezi 11,lakini cha ajabu yuko fiti kabisa na hana dalili zozote za kusikia uchungu, tumeenda hospitalini Madaktari wakaona...
4 Reactions
26 Replies
27K Views
umri wa mtoto kwenye upimaji wa dna unatakiwa kuanzia kiasi gani?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Watermelon: A Natural*Viagra A cold slice of watermelon has long been a Fourth of July holiday staple. But according to recent studies, the juicy fruit may be better suited for Valentine’s Day...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ninaomba ushauri. Jana nimefuatwa na anko wangu(48 yrs) kwa ushauri wa kuokoa ndoa yake. Ameoa na watoto 4.Kila anapopata hamu ya tendo la ndoa uume wake husimama, lakini anapokua katika romance...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
JF Doctor.Nina ndugu yangu ana tatizo hilo.Hospitali wanasema hawajaona tatizo ila anateseka sana.Nimsaidieje?Please
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Vaginal Discharge What is vaginal discharge? Vaginal discharge is a clear or whitish fluid that comes out of the vagina. The uterus, cervix, or vagina can produce the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikiwa mtu anavirusi rangu ya kifaa inabadilika kuwa buluu na ikiwa hana rangi unakuwa nyekundu Aina mpya mbinu ya kuchunguza na kuona hata viwango vya chini vya virusi na hata aina ya saratani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hodi hapa ndani kwenu madakitali napenda nieleweshye kama mwanamke aliye wahi kufanyiwa upasuaji na kuondolewa milja yake yote miwili anaweza akapata siku zake kama kwaida.Naomba mnijuze tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, kwa siku kama 4 sasa, nimekuwa nasumbuliwa na Tatizo hili la macho, ni kwamba, Mie (au niseme macho yangu) huwa ni maoga sana kwenye mwanga mkali na hasahasa wa JUa la hapa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Zipi athari za kuishi na figo moja kwa waliodonate figo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina mtoto wa kiume ana miaka miwili na nusu sasa, anatatizo la cerebral palsy au Autism, (kwa muonekano wa haraka haraka haonyeshi kama ana tatizo hilo) Mpaka sasa hajaweza kusimama au kutembea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
oi wana hv kuwashwa baada ya mazoez pind damu imechemka n nn na mnanisaidiaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, nina imani mnaendela vizuri na msimu huu wa sikukuu za xmas na mwaka mpya wa 2013. kama kichwa na cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada kwa wenye ujuzi hasa doctors...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Anapopatikana daktari bingwa wa magonjwa ya kifua hapa dar es salaam.....tafadhali nifahamishe kifua kinaniuma balaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanafamilia, Kumekua Kukitokea Tatizo Ambalo Linasababishwaa Na Unyawaji Wa Haya Madawa Ya Antibiotics(nikimaanisha kitu kama Allergy) Ambapo Mtumiaji Wa Antibiotics Anakua Anapata...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Jamani nimekutana na hii kitu mitaani wakati nagonga castle lite yangu ya baridddddddiiiiii kitaaa baada ya kutoka kupambana na majukumu ya kujenga taifa. kijana mmoja nilikuwa nimekaa nae meza...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kirusi cha HIV "Kuna densi kati ya virusi na kinga ya mwili'' anasema Daktari Angela obasi kutoka taasisi ya utafiti wa matibabu nchini Uingereza. "Wakati tunapopata uelewa zaidi kuhusu virusi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa.. Mie mwenzenu nikianza kumuandaa mpenzi wangu naishiwa nguvu haraka then inakua taabu kuanza mapenzi maana inabidi nisubili mpk isimame tena..NAOMBA MSAADA WENU WENZANGU am...
0 Reactions
34 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…