Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kwa wale Waislam wanaofunga siku 30 faida ya kufunga ndio hii kiafya angalia Video........ Hata Bwana YESU alifunga siku 40 mashallah..............
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu heshima yenu Binafsi napenda sana kunya maziwa ya ng'ombe freshi...kila siku nakunywa vikombe viwili kama robo lita hivi vya maziwa mara mbili yaani asubuhi na jioni,nimekuwa na tabia ya...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu hebu tuchangie hii dhana ya baadhi ya watu ambao husema na kuamini ya kuwa ati kuku wa kienyeji ana sumu hasa akikudonoa na kuweka jeraha basi lazima utakufa kama hujatibiwa kwa maana ya...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Wanajamvi naombeni msaada wenu,nina tatizo la nguvu za kiume..eti ni kweli kukojoa kwa kubana mkojo inaweza kunisaidia? NISAIDIENI JAMANI
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Kwa wale wanaotumia na kupanga kutumia baadhi ya dawa za kichina soma hapa chini; Chinese Medical System Goes Cannibalistic Infowars.com Dec 22, 2012 A South Korean SBS TV...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maradhi ya Alzheimer Tatizo la kukosa usingizi huenda likawa ishara ya kutambua mapema maradhi ya kusahau au ''Alzheimer'' kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa kutumia panya ambaye ana maumbile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Saratani ya watoto Uganda Kuna visa vingi vya saratani barani Afrika vinavyosababishwa na maradhi mengine. Hiyo ndio habari mbaya. Lakini habari njema ni kuwa zinaweza kuzuiwa kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uvutaji sigara ni hatari kwa ubongo kulingana na wanasayansi nchini Uingereza Kuvuta sigara "kunaozesha" ubongo kwa kuathiri vibaya kumbukumbu, uelewa wakati wa masomo na uwezo wa kushauriana...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Profesa Sir John Burn wa Chuo kikuu cha Newcastle WATAALAMU wa tiba wameshauri kua watu ambao afya yao inakabiliwa na uwezekano wa kukumbwa na saratani ya kibofu, wapewe dozi ya aspirini. Jarida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahemiwa jaman naomba msaada wenu mwenzenu toka jana usiku korodan zangu zimevimba zinauma xaana naomba msaada wenu please pleas jamax
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani tafadhali msije mkadhani ninaleta mada ya kitoto BUT ni kitu kimenisumbua kidogo......niliwahi kusikia dada zangu wakisema kwamba ukiwa unaanza matiti yale madogo (saa sita?) ni vyema...
1 Reactions
42 Replies
12K Views
hallow everybody... Am asking where can I get contact lens. Am tired of wearing spects and I can't live without one. If you will help me with the estimated price I'll be grateful. Thanks
0 Reactions
4 Replies
1K Views
One theory about longevity is that males have bigger bodies in order to win out in the race for breeding opportunities. Genes in sperm may determine why female mammals live longer than males...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mama yangu anasumbuliwa na ini(liver), limevimba na ukimuona amekonda sana, mwezi 11 alifanyiwa uchunguzi bugando mwanza na akaambiwa kibofu cha mkojo(galbladder) kina michanga ndani, alifanyiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomben mnsaidie namba za tumaini za daktar mtaalmu wa magojwa ya wanawake
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Hivi ni chakula gani tunapaswa kula wakati wa usiku ili upate usingizi mzuri
0 Reactions
31 Replies
38K Views
......Natupia haka kaswali hapa.......jibu la kwanza la Mchina ninalo naomba mengine............
0 Reactions
34 Replies
15K Views
A study of seven terminally ill patients found identical surges in brain activity moments before death, providing what may be physiological evidence of "out of body" experiences. A study of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa kuu naomba kuuliza na kama mtu anajua dawa ya haya maumivu ya kuanzia mabegan kwa nyuma na kwa ndani anisaidie mana panauma sana na nimejaribu dawa kama omoprazole lakini hakuna mana...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…