Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

PIA UHARIBU MIMBA, HUATHIRI NGUVU ZA KIUME NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu Hivi kama wewe ni mwanaume na una rafiki yako ambae ni daktari wa kina mama gynaecologist utaruhusu awe daktari wa mke wako?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana jamii,naomba ushauri kuhusu maumivu makali ya kichwa upande wa kushoto baada ya kujifungua kawaida.Dr alisema ni kawaida kuumwa kichwa kwa mama anyonyeshaye ila naona yanaongezeka...
0 Reactions
10 Replies
50K Views
jamani mi natafuta mwanasaikologia wa kunisaidia kuondokana na woga kwani nina tatizo hilo hadi nashindwa kabisa kuongea mbele ya watu,,,,hivyo nimeshauriwa na rafiki zangu nitafute...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kijielezavyo, mimi nimekuwa nikinyolea madawa hasa vitt, baada ya nyembe za aina zote na mashine za kunyolea kuwa zinanitoa mapele maeneo nyeti. Tena mapele yenyewe yalikuwa...
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Wakuu mwenzenu kuna jambo lime niweka njia panda kwahiyo naitaji msaada wa kitaalam zaid. Hii yaweza fika mwezi wa pili cja muingilia mkewangu tatizo likiwani kuharibika kwa mimba mimba hiyo...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Hello people... Anybody knows a good gyno or a dermitologist for treatment please let know of the were abouts and contact if possible. Will appriciate for that...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Assalaamu alekhumu wadau wote jukwaani, mwenzenu nna kituo flan uku kijijin sasa napata sana shida juu mabinti wadogo kwa wakubwa kuota ndevu mapka sasa nachanganyikiwa na kituo changu uku kiana...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
jaman nilikua nauliza eti naona watu wakishaweka sukari kwenye chai anaweka na NDIMU, hv ndimu inasaidia nn?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Tarehe 1 Desemba kila mwaka ni siku ya Ukimwi Duniani na Tanzania tunaungana na dunia kusheherekea siku hiyo. Kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa ni pamoja na kupunguza vifo, maambukizi mapya...
1 Reactions
5 Replies
16K Views
Wana JF naomba msaada wenu nifanyenini? Ndugu yangu miaka 27 (male) anatumia Bangi na Unga(heroin au cocaine). kama familia tumejitahidi sana kumsaidia naona tunashindwa, sasa amefikia hatua ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Wakuu naomba kujua mtu mnene atajauaje kama ana hernia kwa vile uvimbe hauonekani kutokana na belly fat.....je ni kipimo gani mtu anaweza kupima akajua kuwa ana hernia.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nisaidieni clinic ya magonjwa ya akina mama iliyopo arusha.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nimeshauriwa nitumie neo medro acne lotion kwa vikovu vya chunusi je inafaa na haina madhara yeyote msaada tafadha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kunarafiki kaniuliza inakuaje anatokwa maziwa wakati si mjamzito mim nkakosa jbu pamoja nakua nshazaa, sielewi naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
941 Views
DNA: mkemia mkuu' kasema kuwa asilimia 44 ya waliopima vinasaba kwa ajili ya kujua uhalali wa watoto kwa baba, wamethibitishiwa kuwa watoto hao sio wao. My take: kwahiyo nusu ya watoto wa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Za asubuh jamani,mimi ni mvulana ambaye nina girlfrnd,tunapendana na kuaminiana na tumeshaduu kama mara 10 hivi. Ila siku hiz za karibuni nilikua nikiduu naye sehem zangu za siri zinaniuma sana...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Tianjie Dental Falcon(a dental hand-held X-ray machine) ina madhara makubwa kwa watalaamu wa meno, pia na kwa wagonjwa wa meno waitumiapo. Kuna hatari kubwa ya kupata kansa na kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…