Naomba kujua mwanamke baada ya kujifungua uchukua mda gani kuanza kujisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa na mume wake?hapa naamanisha bila ya Mume wake kuamsha hashiki ya kutaka kufanya naye...
Jamni mm mwenzenu nina ngozi kavu sana yani unakuta na pauka san sehemu za mapajni ndo usiseme na kuwa na michubuko katikati ya mapaja ambayo hainifurahishi hata mm nikikutan na boyfrend wangu...
Naomba mniambie dalili za UTI na tiba yake kwa ujumla kwani nahisi kama nna huo ugonjwa,
Nahisi maumivu kama nna vidonda hivi ndanii ya uume wangu, Maumivu hayo nayapata kwenye mshipa mkubwa...
RHEUMATOID ARTHRITISRheumatoidarthritis (often called RA) is a chronic (long-standing) disease that damagesthe joints of the body.WhatIs Rheumatoid Arthritis?Rheumatoidarthritis (RA) is an...
Ukimwi upungufu wa kinga mwili, ni ugonjwa unaoshambulia na kuua chembe chembe nyeupe za damu zinazosaidia mwili
kupambana na magonjwa. Kutokana na upungufu huu wa kinga, magonjwa nyemelezi...
jamani naombeni msaada wenu, nimekuwa nikilala kupita kiasi mpaka nahisi ni ugonjwa. kwa mfano jumapili nililala toka saa nne asubuhi nikawa naamka kula kisha narudi kulala siku nzima mpaka nikaja...
Normally, I don't recommend "weight-loss" supplements, especially weight-loss supplements that claim "easy" weight loss or "fast" weight loss. As a nutritionist, I strongly believe that the key to...
Wana JF Naomba kuuliza Je? Kuna ukweli wowote kuhusu kifaha tajwa hapo juu? Coz nimesikia kuwa kinapima magonjwa yote ya binadamu kwa kutumia sensor yaani mtu anakishika na majibu yanasoma kwenye...
shaloom,
aisee mimi nina tatizo la kinywa, yani kila nikitaka kuswaki nahisi kutapika, nikilazimisha badala ya kutema mate ya kawaida natoa makohozi mengi. nshabadilisha miswaki mingi...
mara ya mwisho kumeza leo asbuh sa nataka kesho nipate kilaul(mvinyo)so its better mnijulishe hyo dawa inakwisha nguvu baada ya masaa mangapi! NISIJE KUFA MWENZENU
JAMANI WADAU NISAIDIENI INAKUAJE HIVI VIRUTUBISHO VINAVYOSAMBAZWA NA NETWORK YA GNLD kazi zake zasemekana kupunguza uneneRutuba kwa mimea na vingine vingi ANY ONE WHO PROVES THIS...
Nina mda kama wa wki2 tangu nifunge pingu za maisha na mke wangu kipenz,tuliahidiana kutokufanya mapenz hadi tutakapo oana na wote tulifanya hvyo,chakushangaza cku ya kwanza kufanya nae mapenzi...
Choose to put into your body will reflect itself on your skin. Diets filled with processed foods often leave skin looking and feeling dull, oily, and discolored. But nourished bodies that are...
Salamu wakuu hili tatizo linanisumbua sana hadi nakosa raha...nipo chuo nasoma...ila ikifika saa 3 usiku nina shikwa na usingizi wa hatari...pia mchana wakati vipindi vinaendelea usingizi...
Tangu nimeolewa nina miaka mitano Lakini sijabahatika kupata mtoto.Cha ajabu mme wangu anamazoea ya kunido mara moja tu kila siku(yaani round moja tu analala) ingawa naridhika je hiyo ni sawa.Na...
Aisee nisaidieni hili tatizo tangu majuzi nasikia uume unawasha washa si kawaida......nina kawaida ya kufanya mapenzi bila condom kwa shori wangu namuamini sana ndio maana nimejilipua ....ila...
Wadau kuna demu 1 nilikuwa namchukua kipindi cha nyuma, wakati nikifanya naye mapenzi nilikuwa
nikisikia raha sana kwa sababu kulikuwa na mnato mzuri sana.Nikaja kusafiri kwa miezi 6, wakati...