Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

NOW, EAT SALT WITHOUT WORRYING: Eat salt to keep heart disease at bay (Thinkstock photos/Getty Images)How much salt to include in our diets has always been a controversial subject, but a...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi nina mpenzi wangu, kila ninapofanya tendo la ndoa kuna uchafu unatoka kama maziwa yaliyo ganda ambayo yanatapaka kwenye uume wangu. sasa wadau huu ni ugonjwa gani?
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nimegundua nasumbuliwa na hili tatizo la ugonjwa wa zinaa ambao nahitaji mtaalam kuweza kupata mamtibabu sahihi. Ni tatitzo ambalo limejificha sana na wengi wanasumbuliwa nalo ila hawajui tu hadi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
please help me where can one find place which they do surgery to remove men boobs.(gynaecomastia)
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar zenu bana, hivi kuna njia ya kupunguza maji maji ukeni coz kuna ishu ya wanaume kutoenjoy kufanya mapenz na wapenzi wao sbb ya hali hyo,kisayansi n kwel kuna hali km hyo?na soln yake n nn hasa
0 Reactions
43 Replies
29K Views
Wadau, nnaskiaga kuna kitu kinaitwa morning pills kwa wanawake. Naomba kujua matumizi yake na upatikanaji wake. Ni swali kwa wanaojua na elimu kwa wasiojua kama mimi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari JF mtu akilala ubongo hufanya kazi zaidi ya ukiwa macho ambayo hupelekea other organs kufanya kazi ya ziada especially moyo... Je hii ndo sababu ya ugonjwa wa kulala ovyo!?
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Dokta naomba kujua ni kwa nn nikinywa maziwa freshi au mgando, mara baada ya muda mchache tumbo linanikata sana na hatimaye ni kuharisha vibaya sana. Naomba kujua hilo.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
unapokua usingizini ubongo hufanya kazi zaidi ya ukiwa macho ambayo inapelekea other organs kufanya kazi ya ziada especially moyo... Je hii ndo sababu ya ugonjwa wa kusinzia ovyo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau samahani. Naomba kujuzwa .. mtu anajipeleka mwenyewe anatembea hadi dispensari ya mtu binafsi. pale anaambiwa kapatikana na malaria sita. Anapewa ushauri alale mapumziko na kupata drip...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Nlikuwa naomba m2 anisaidie jinc ya k2mia aloe vela yaan inywewe mara ngap kwa cku
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Ndugu zangu wataalamu au mwenye kujua hili tatizo la kuumwa na miguu naomba anisaidie ufumbuzi kwani wazee wangu (Mama na Baba) Miguu inawasumbua sana hadi nawaonea huruma! Natanguliza shukurani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka kujua ndani ya mbegu za mwanaume na yai la mwanamke huwa kunakitu gani kina fanya mtu atokee?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, hii ni ya Taiwan kwamba wanataka kupitisha sheria kuwa na wanaume nao wawe wanakaa wakati wanakojoa. Kama tujuavyo wanaume wakiwa wanakojoa huwa kuna matone ya mkojo ambayo hurukia kwenye...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
hali zenu, kuna dogo hapa home katokewa na vibarango usoni na kila siku vinazidi kusambaa. dawa yake ni nini na chanzo ni nini? please MziziMkavu na dr. Riwa help. . .
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Kwa anayejua huu mmea kwa kiswahili na upatikanaji wake.nimesoma kuwa ni dawa ya vitu vingi. Psyllium (also known as Ispaghula) is the name that is often used to describe a plant called Plantago
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna tatizo gani linalosabisha mwanamke kutoa damu kila anapofanya mapenzi? Yeye anasema anashanga hata baada ya hedhi damu inaendelea kila kazi inapopigwa! Mbona hiyo discharge siyo kawaida?. Ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
salam jf ningependa kujua ni muda gani ni wa kawaida kwa mwanaume anapoanza kufanya mapenzi hadi ejaculation(the minimum required time before ejaculation) .na pia swali linaoendana na hilo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wandugu.Kuna rafiki yangu ana KITU KINACHOCHEZA TUMBONI kama Ujauzito,na amejaribu kupima haja ndogo kwa UPT hana Ujauzito.Amekwenda klinik ya wajawazito mapigo yapo na ametakiwa kurud...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimewahi kuwasikia wataalam wakisema kuwa japokuwa puchu ina madhara kidogo, lakini ni bora kupiga puchu kuliko ngono zembe.....Na kwa maisha ya sasa pia gharama za ngono zimepanda sana kutokana...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…