Ikiwa hospital ya Bombo TANGA na nyenginezo hazina hata x-ray madaktari wasigome kwanini?
Hili ni janga la taifa wananchi tusiwalaumu madaktari kugoma ni waokozi wetu, hospitali nyingi hazina...
Hi!
Wataalamu wa JF, nimesikia kuwa eti mtu ukinywa Panadol au paracetamol muda mfupi baada ya kunywa kinywaji cha coca-cola kuna madhara.
Naomba wanaojua wanijuze ni madhara gani hayo na...
Habari za hivi punde zinasema kuna mtu amegundulika kuwa na dalili zote za ugönjwa hatari wa ebola mkoani mwanza.
Chanzo: STAR TV
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa mtu mmoja amekutwa na...
Ni wazi kuwa karibia sote tunaishi kwa mazoea na wengi hatuzingatii umuhimu wa 'AFYA'.
Download hiyo attachment uisome kwa uelewa binafsi kwanza halafu baadaye umdokezee na mwenzako.
Ni muhimu...
Leo katika kijiwe kulikuwa na mjadala ya kwamba, ukubwa wa kishogo (kisogo) unasaidia kutambua uwezo wa akili aliyinayo mtu, hususani mtoto.
Moja ya wadau walidai ya kwamba, hata watoto wengi...
IJUWE KIU
Unasubiri KIU ndipo unywe maji? Na je kiu ni?:
NAMNA MPYA YA KUITAMBUA KIU:
Ikiwa 'mdomo uliokauka au kiu' siyo kiashiria kikuu cha mwili kuhitaji maji, ni vipi hasa viashiria vya...
Thursday, 09 August 2012 21:32
Geofrey Nyangoro
MADAKTARI waliofukuzwa kazi na wale waliositishiwa leseni za muda wanatarajia kuanza kuhojiwa wakati wowote na Baraza la Madaktari...
Hello wana JF
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikikojoa mkojo mchafu sana tena unanuka kupita kiasi, nimeenda hospital mara kadhaa na kupewa dawa ambazo zilinisaidia kwa muda mfupi sana. Nimejaribu...
jamani wanajamvi natumai mnaendelea vizuri na harakati za maendeleo ya taifa. mi mwenzenu nawaomba mnijuze hatari ya hizi diclopa kwetu sisi wanawake maana mimi nnapoenda siku zangu huwa naumwa na...
UGONJWA wa homa ya nguruwe uliojitokeza mwaka jana umeua nguruwe 4,476 katika wilaya nane hapa nchini na kusababisha baadhi ya wilaya kuwekewa karantini.
Hayo yalibainishwa bungeni jana na...
MADAKTARI waliofukuzwa kazi na wale waliositishiwa leseni za muda wanatarajia kuanza kuhojiwa wakati wowote na Baraza la Madaktari Tangayika (MCT).
Katibu wa Jumuiya ya Madaktari...
FLP Argi-Plus - A life-changing Arginine Supplement
The bloodstream is literally the life blood of our body. Poor circulation is one of the most common health problems that if left unchecked can...
Nimeumwa gono zaidi ya Mwaka mda wote nilikua natumia dawa lakini huwa napata mafuu tu.Nilikuwa naomba ushauri na ikiwezekana dawa ambayo inaweza kuniponya.
habari wana ndugu.binafsi tatizo hili limenitokea koo linawasha kwandani ninapojaribu kukorota yani kulikuna najikuta nikitema damu.hata asubuh wakati wa kuswaki nikisugua ulimi hali hii...
Samahani kwanza naomba kujuzwa chanzo cha jipu kutokea? Na pili naomba kujuzwa nifanye nini jipu limenitoka kwenye lip ya mdomo ya chini imekuwa kitendawili kwangu sijui cha kufanya!
Nina girl friend wangu wakati tupo kwenye sex akifika kileleni mikojo inamtoka sijui hii kama ni kawaida au ana tatizo.please kama mnaweza kunisaidia kwa hili
Habari wanajamii. Mimi huwa nasumbuliwa sana na kiungulia, nikiwa mjamzito huwa kinazidi. Nini husababisha kiungulia? na ninini dawa ya kiungulia? Naomba mnielimishe!