Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

What are the procedures and its side effects..
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Naomba msaada wa kitaaluma kuwashwa baadhi ya eneo la mwili kwa muda , na mwisho wa vidole vya mkono kufa nganzi ni ugonjwa gani huo,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba msaada juu ya mtoto akimeza hela(100/=),kwa kumpatia huduma ya kwanza nini kifanyike? naombeni msaada juu hilo.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Kuna mrembo nataka nikampime kabla sijafanya maamuzi magumu lakini sina ile solution, je matokeo yatakua ya ukwee'?!
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Nilikuwa kijijini mwezi uliopita, nahisi maji ya kule yamenidhuru, nimepata kitu kinaitwa jock itch/fungus (angalia picha) (google). Ni kama vipele vidogo vidogo vinavyowashwa wakati wa joto...
0 Reactions
3 Replies
23K Views
Niliagizwa kutumia piriton,coz kila nilijikuna hua natoka uvimbe haswa maeneo ya tumbo,mapajani na miguuni.Kwa matibabu zaidi naomba ushauri wenu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Karibuni mboreshe afya zenu(ikiwezekana na kipato) kwa kutumia bidhaa bora kabisa ulimwenguni zilizotengenezwa na aloe vera(Shubiri). Bidhaa kama Forever Bright Toothgel(Bidhaa ya meno) ni bidhaa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
DR. wa JF jamani nimekuwa nikiumwa na tumbo mfululizo takribani siku nne sasa bila kupata nafuu sijui tatizo ni nn naombeni ushauri :sleepy:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naamini kila mtu anakubaliana na mimi kuwa habari ya Dr. Ulimboka inaanza kufifia hapa jamvini. Hii ni kawaida kwa kila habari mpya, huvuma, hufifia na kisha hupotea kabisa, hasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mwana jf ambaye ameshapata matibabu haya, naomba ushuhuda tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wadau naomba msaada mara nyingi nasafiri na ndege na mara zote masikio huuma sana, inasababishwa na nini na njia gani naweza kuzuia hali hii, mara zote hizo abiria wengine huwa wako normal.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
HI MEMBERS, KWA KWELI NIMEJUA SASA MADHARA YA POMBE KATIKA AFYA YA MWILI WA BINADAMU. TENA WHYSKY NI HATARI SANA KWA MAINI, MOYO, MIFUPA, FIGO, BANDAMA NK. MIMI MWENYEWE NILIKUWA MTU WA KILAJI ILA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni utafiti usio Rasmi, wagonjwa wengi wa kisukari ni wanaume kuliko wanawake. Hii inatokana na takwimu nilizonazo mwenyewe, asilimia 95 (95%) ya wagonjwa wa kisukari ninaowafahamu au niliowahi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuwasikilize na tutoe mawazo yetu, je wamalidhi mahitaji?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi wangapi baada ya kujisaidia haja kubwa huwa na mazoea ya kuangalia mzigo uliotoka ? Kwa afya yako uwe na mazoea ya kuangalia mavi yaliyotoka ili ujue afya yako ya mfumo wa usagaji/tumbo na...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Jamani Si Utani Ninatatizo Kila Nikivua Tshirt Inatokea Cheche Kama Vile Kupiga Shoti Je Hii Ni Nini?
1 Reactions
46 Replies
7K Views
JF Doctor. Hivi hivi vipele vinavyoitwa kwa kitaalam Penile Peary Papules (hutokea ktk shina la kichwa cha uume), haviumi, haviwashi, hutokana na nini? Na ni ipi njia ya kuviondoa?. Kuna jamaa...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Heshima kwenu Wakuu. 1.Eti ni kweli kwamba mtoto akizaliwa premature wa miezi 7 anayo nafasi kubwa ya kusurvive kuliko premature wa miezi 8? Kama jibu ni ndio nitafurahi kufafanuliwa ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I salute you all! Israeli researchers have developed a medicinal marijuana that can ease the symptoms of some ailments without making patients "high". Source : Israelis develop 'highless'...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio wana JF Naomba kuuliza kuna habari kwamba ili kujua siku anazojifungu mwanamke mjamzito unaweza kuanza kuhesabu siku kwa kutumia ultra sound iliyopigwa ndani ya wiki nane mpaka kumi na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…