No matter how many rounds i go.. hamu bado iko pale pale..kuna siku my x aliamua kunikomesha we did t kuanzia ijioni mpaka kesho yake asubuhi..lakini hamu haikuisha..nina tatizo la hormones au...
Wataalam naomba mnisaidie tiba kwa wife wangu ana ujauzito wa miezi mitatu lkn anatema mate kila karibu kila dakika tano hivi hakuna dawa ya kuzuia au kupunguza hali hii maana namwonea huruma...
hello!
naomba msaada jamani,,, ninapata shida kwenye mkojo,,, nisipokunywa maji ,,,.na kojoa makojo unanuka sana paka kero,.,., pia nikipata hiyo hali hadi mamivu,,. !!! msaada jamani kama mara...
Nimekuwa na tatizo la macho kwa muda mrefu mwaka 2002 nilifanyiwa upasuaji wa jicho kutokana na ugonjwa wa mtoto wa jicho lakini kwa sasa naona tatzo limerudi tena kwa maana ya mtoto wa jicho...
:A S cry: Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia pumzi siku ya leo. dr. ninatatizo linanisumbua nimehangaika sana sasa najaribu kulileta kwako. Dk. mimi ni mweupe wa asili ila tatizo langu ni...
Wana-JF;
I hope this information is worth to share it with you.
Toothache is a conditionwhere the tooth or its surrounding gums cause extreme pain due to one of theseveral reasons. It can be...
Habari zenu ze great thinkes!
Je ni tatizo mwanamke kujimwagia pasipo sababu?yaan anapokua ktk shughuli zao. mfano akipiga chafya anajikuta amemwaga,ila sio wakat wote,kama ni tatizo dawa yake...
Habari zenu wana MMU.....
Leo sipo kimapenzi ila ni kuhusiana na uvutaji wa sigara.
Ni ishu niliyoiona kwa watu wangu wa karibu ambao ni wavutaji wa sigara. Kuna ndugu yangu ambaye ni mvutaji...
Like minty gum...i know you can't chew it for an hour..hahaa
But seriously chewing gum is supposed to be chewed on for how long before disposing it (to have maximium fresh breath)
Tarehe 12/06/2012 nilipima maalaria nikawa nayo 4,nikapewa dawa za kutumia Atequick (spelling not sure)hazikunisaidia kwani baada ya kumeza nikawa najisikia vibayaa sana tumboni mpk trh 24/06...
Ugonjwa wa saratani (cancer) ni miongoni mwa magonjwa hatari yanayosumbua watu duniani hivi sasa, Tanzania ikiwemo.
Wagonjwa wanaongezeka kila kukicha katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar...
Habari zenu wadau,
naombeni msaada wenu wa kitabibu kuhusu kuzidiwa hasira,
kadri mda wa bunge unavyozidi ndivyo na mimi huzidiwa hasira, nimejitahidi kutolifuatilia na kujaribu kuweka pamba...
Habari za leo ndugu zangu.
Leo nimeona nije kupata ushauri kuhusu matumizi ya feni. Kila mara ninapolala usiku huwa natumia feni hiii ni kwa sababu ya hali ya joto la Dar Es Salaam ila ninasikia...
Wana JF wapi naweza pata hii herb 'purified Tribulus terrestris extract', available under the brand name Libilov. Hii ni kwa wale wenye matatizo ya pre mature ejaculation. Kwa anayejua anijuze...
Nina dada yangu anamtoto wa mwaka mmoja wa jinsia ya kike..
anatatizo la kustuka anapokua usingizini(usiku)-akistuka uwa analia sana,anambembeleza analala..baada ya saa moja anastuka tena..kazi...