Hallo JF Doctor,
Naombeni msaada wa kufanya, nimemeza kamfupa kadogo ka samaki, kamekaa karibu na koo, japo maumivu hakuna ila kananikera sana. Je nifanye kukatoa au kukameza kabisa?
Kila nikijamiiana baada ya siku mbili au tatu natokewa na vipele/ blisters kuzunguka uume na mda mwingine vinaweka maji baadae hupasuka na vinakauka. Sijui tatizo nin. Kuna wakati niliingiwa na...
wadau nisaidieni kutoka usaa sikioni kunasababishwa na nini na nini tiba yake ? nina mwanagu wa miezi5 wiki nzima anatoka usaa sikioni na dwa za hopitali naona hazimsaiddi
Dr naomba niulize, mi nina mke wangu alafu nimepiga game siku zote za hatari lakini naona damu inamtoka alafu sio nyingi na wakati bado ajamaliza circle yake? Hila bado sijampima mimba.
Huduma MOI na Muhimbili tete
Mikoani madaktari kazi nusu nusu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka
Wakati mgomo wa madaktari ukiendelea kushika kasi katika...
Habari ninatatizo lamguu wakulia kuna kipindi nasikia kama mtu ananichoma nasindano kuanzia chini mpaka ktk goti kisha inapotea. Hali hii yamda mrefu hua inatokea nakupotea.
Mguu...
Na Florence Majani
WAKATI idadi ya wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji ikiongezeka, imebainika kuwa njia hiyo ina madhara makubwa ikiwamo kupata matatizo ya mgongo.
Mkunga na Mhadhiri...
In theory, you should be able to digest just about any type of food you put in your mouth.
But changes in food processing and preparation (think fried) not to mention lifestyle (think sedentary)...
Habari za kazi bandugu.naomba msaada wa kidaktari au ambae atakuwa na uelewa wa ili jambo.kama mwanaume alifunga kizazi zaid ya miaka 10 hiliyopita akikutana na mwanamke nje ya ndoa anaweza kumpa...
Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au broken heart syndrome.
Ugonjwa huu husababishwa na kudhoofika...
Nimekuwa nikisikia kwa watu tofauti kwamba kati ya mapacha lazima kuna moja ana mapungufu(hawawezi wakawa sawa wote),sina uhakika wa hii ila nimesikia tu.
Je kuna ukweli wowote?
Jamani natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Jamani nina mtoto wa miezi mitatu ila toka azaliwe kuna mucas nyeupe ina mtoka machoni tumetumia tiba kwa ushauri wa madaktari tulio waona lakini...
Naomba mnisaidie jamani, nina ugonjwa wa ngozi mwaka na nusu, kila nikienda hospital wananipa dawa ambazo nikimaliza kutumia baada ya mda kidogo ugonjwa unarudi tena na tena, sijui nifanye nini!
Heshima yenu wakuu nasumbuliwa na kukerwa sana na hili jambo nimkuwa nikipata na weusi kwenye makwapa na katikati ya mapja kitu hiki kinaninyima raha. najisugua sana napooga lakini hakuna...
Hi jf doctor,mimi ni mwanamke mwenye miaka 23,nina sumbuliwa na harufu ukeeni,natkwa na harufu kali sana kiasi kwamba hata watu nilio kaa nao wanaisikia,na nina toa uchafu wa rangi ya usaa...
Naitwa Kissu K. Mpini, ni mwenyeji wa wilaya ya Ifakara,mkoa wa Morogoro, Tanzania, utakumbuka mara ya mwisho nilivyotoa ushuhuda wangu kuhusu shida ya kusigina/kusaga meno-bruxism ilivyonitatiza...