Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Answer the phone by LEFTear. Do not drink coffee TWICEa day. Do not take pills with COOLwater. Do not have HUGEmeals after 5pm. Reduce the amount of OILYfood you consume. Drink more WATERin the...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Mnaojua tufahamishane,masikio yangu yanapiga kelele,yaani ni kama miluzi ila inapiga mingi na sauti tofauti-tofauti kama vile kelele za mgonjwa alietumia dawa ya Quinine,nimepimwa masikio hayana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili, nina hitaji ushauri kuusu tatizo ili ,mi kijana wa kiume ,umri wa aka 27 ,ni hivi huwa ninapokuwa nikifanya tendo la ndoa na wife,nakuwa najikuta ninawahi kufika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nasumbuliwa sana na 2mbo la hedhi lkn kwa mwezi huu limeptliza af naskia maumvu ya 2mbo km niko kwenye siku zenyewe lkn hakuna hata ki2.Tatizo litakuwa n nin?au nfanyeje hta niwe ktk hali nzuri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nina rafiki yangu,alipata ajali mwezi wa 2.katika matibabu yake alitakiwa kupata picha ya kiuno(CT scan). Hofu imebaki nae akiogopa kwamba process hiyo inaweza ikawa imemshushia sex efficiency...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au broken heart syndrome. Ugonjwa huu husababishwa na kudhoofika ghafla...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba nipate msaada wa kujua tatizo la kuvimba kwa korodani na je, inamadhara gani kwenye ndoa yangu, nahitaji msaada jamani! Soma na upite tu! Kama huna cha kunishauri please
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Many men suffer from a low sex drive, sexual performanceproblems, and an overall lack of male virility. These problems can negativelyimpact a man's self-esteem, sense of self-worth, and the...
3 Reactions
9 Replies
6K Views
I've fathered 16 children but I'm still a virgin at 36 Trent Arsenault is world's first donorsexual HE is only 36 but Trent Arsenault is already dad to 16 children – despite being a VIRGIN...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi jamani mama anayanyonyesha may be mtoto ana miezi kadhaa, (3months) akapata mimba nyingine afanyaje?yule mtOtO mdogo? Na dalili zipi zitaonyesha kuwa mtoto amedhurika na maziwa ya mama yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Trying to pick up tips, I'm not too sure myself! Also, it would be helpful to post the foods you make sure you eat to get a wide selection of the essentials.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Chagas: Is tropical disease really the new AIDS? Chagas, a tropical disease spread by insects, is causing some fresh concern following an editorial—published earlier this week in a medical...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Habari zenu wanajukwaaa...Nina tatizo karibia mwaka sasa yani mikono inakua na dalili za homa,joto,na kuwa na joto kama vile nae ota moto lakini ni kwa ndani mpaka kuna wakati hua namwagia maji...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana jamii naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu kwamba,mtu anapoyumia Magic kunyolea ndevu anaweza kupata weusi fulani usoni baada ya muda fulani je? kuna aina nyingine ya Magic ambayo mtu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chagas, a tropical disease spread by insects, is causing some fresh concern following an editorial—published earlier this week in a medical journal—that called it "the new AIDS of the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Chagas, a tropical disease spread by insects, is causing some fresh concern following an editorial—published earlier this week in a medical journal—that called it "the new AIDS of the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa tuna shauriwa sana na watu mbali mbali napia ni vizuri pia kutambua umuhimu wa condom kuwa ni kweli ina zuia ma ambukizi ya (v.v.u) ninge penda ni jue kama kweli au sikweli kuna ubishi...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili. Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu? Asanteni:israel:
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Tujiulize kitu hiki.. Hivi Baada ya miaka Kumi Tanzania itakuwa na Vichaa wangapi? na Wagonjwa wangapi wa Kansa ya mapafu or magonjwa elfu 4000 yanayosababishwa na Uvutaji wa Sigara na madawa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…