Wadau tangu jana naskia kende langu la kushoto linamaumivu,nikisimama maumivu makali,nikijinyoosha pia naskia maumivu ghafla then linaacha,ni kama vile linataka ingia ndani.Ni ugonjwa gani huu...
Ni vizuri members tupime ukimwi....Ni jambo la busara ili kujua mipango yako ya baadae......fuata moyo wako sio ulazimishwe......
Hivi ukipima na ukakutwa 'unao' unajisikiaje? Nini raha yake...
wakuu habari zenu...
katika tembea tembea yangu nimekutana na website moja kali sana ya mambo ya afya ya mama na watoto, inaitwa Wanetu.com :: Elimu kuhusu Ujauzito na Uzazi, Malezi na makuzi ya...
TIENS! TIENS! THIS IS THE SECRATE OF YOUR HEALTH FROM TIENS AN EXPERIENCE OF MORE THAN 5000 YEARS OF USING TRADITIONAL WAY OF LIVING! TIANSHI CALCIUM POWDER WITH PUMPKIN Tianshi calcium with...
Nina kawaida ya kwenda perion kwa siku 4 au 5 na kila period nikifika siku ya tatu inakata nakuwa mkavu kwa siku nzima then inaanza tena kwa muda ndio inakata. je wanajf naomba kuuliza hapa...
jamani mimi nimeoa mwaka 2oo9 mke wangu ana miaka 22 lakini tangu mwaka jana mwanzon akaanza kulalama miguu inamwaka moto mara anakosa usingizi mara anahisi anakosa amani mara mwili wa baridi sasa...
Nina rafiki yangu anaolewa jumamosi, na baada ya harusi wanakwenda honeymoon, tatizo linalofanya kuomba ushauri ni kuwa anatarajia kuanza MP jumamosi hiyo hiyo, wasiwasi wake je ni namna gani...
KICHAA CHA MBWA
Ugonjwa hatari unaopuuzwa sana hasa katika nchi masikini. Ugonjwa huu pia unatatizo la kutotolewa taarifa kamili. kwa nchi kama Tanzania ugonjwa huu unaonekana kama kaugonjwa...
ndugu zangu poleni na majukumu ya maisha. Naomba msaada wenu wa kila hali ninatatizo la kuumwa tumbo hii ni mara yangu ya tatu ndani ya miezi 6. Tumbo linaanza taratibu kuuma na ndani ya masaa 2-3...
Heart Attacks And Drinking Warm Water
If you're new here, you may want to subscribe to our RSS feed. One advantage of subscribing to RSS feeds is that you don't have to constantly...
Wakuu, ni about wiki ya pili now Shemeji/wifi Yenu Chuchu zake zinamuuma sana, yan nikzigusa tu anataka kulia kwa Maumivu, hii ni strange Behaviour since nimezna kuishi nae for more than 2 Months...
Kuna aina yoyote ya chakula kinachoweza kuzuia mchanga kukaa kwenye figo, na ni dawa gani inaweza kutumika kuondoa mchanga huo au hadi upasuaji ufanyike?
Jamani wadau,nahitaji kujua ni jinsi gani naweza kupunguza dushelele yangu maana imekuwa kubwa, ikisimama ni 8inches na cm kadhaa!Angalizo:Njia iwe ya asili!
nakama wiki hivi niliku naisi nakama tonsezi, nikaenda pharmacy nikapata dawa, lakini this time nikiwa nameza chakula naisi maumivu chini ya koo maeneo ya kifuani, naogopa kweli, naombeni msaada...