Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

5 Major Effects of High Blood Pressure - 3D Medical Animation - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina miaka 24 ni mpenzi sana wa footbal,kwa kipindi kirefu tangu nikiwa primary level nmekua nikicheza sana mpira bila matatzo yyte,nlivofiksha umri wa miaka 20 mifupa ya miguu ikaanza kuuma hasa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Upungufu wa Dawa za malaria nchini je, Usimamizi mbovu au Uzembe? Moyo unasononeka sana pindi nilipopata taarifa hii huko nchini Tanzania yaani usambazaji wa dawa za Malaria umekuwa duni hali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Swali langu ni hilo, hawa wanaoitwa NeemaHerbalist, dawa zao zinatibu kweli kama wanavyojitangaza wanatibu? Mimi kwa kifupi nataka kuondoa kitambi, dawa zao zinasema zinatibu hilo ndani ya siku...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Awali ya yote napenda kutambua uwepo wa watu makini na wenye hoja za msingi humu JF. Napata tabu sana baada ya siku mbili zilizopita kufuatwa na mdogo wa rafiki yangu ambae anadai kumpa mimba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Nina tatizo ambalo limekuwa likinitesa kwa takribani mwaka sasa. Ninasumbuliwa sana na kiuno yaani ninasikia maumivu makali siwezi hata kuinama kudeki. Nimeshakwenda hospital...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza ikiwa kuna dawa ya kumsaidia mtoto wa mwezi mmoja kuondokana na maumivu makali ya tumbo (nadhani ndio waswahili wanaita chango). Hosp wanasema ni gas sababu ya kunyonya...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Faida za kunywa maji ya kutosha Kunywa maji safi na salama kwa kiasi kinachostahili kiafya kunaweza kuyaboresha maisha yako na kukufanya ujihisi mwenye afya na furaha zaidi . Kunywa maji ya...
15 Reactions
15 Replies
13K Views
hvi rangi nyeupe inayotokea katika kucha na kushuka mpaka mwisho wa kucha husababishwa na nini,ina madhara au ni ishara ya ugonjwa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana jamvi nina mpenzi wangu mara kwa mara amekuwa akisema ana umwa. Mara nyingi amekuwa akisumbuliwa na kichwa pia maumivu tumboni na maeneo ya mbavu. Kila nikiwambia tukapime anadai eti ni hali...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Hivi ndivyo Vyakula na vinywaji ambavyo watu hujidanganya kuwa vinajengwa mwili wakati vinabomoa I love food. I do also love unhealthy food, unfortunately, and in an attempt to help myself and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tambua faida za vyakula na Matunda tunayokula ndani ya miili yetu. Apples Protects your heart prevents constipation Blocks diarrhea Improves lung capacity Cushions joints Apricots Combats...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
nauliza kwa doctor yeyote ugonjwa uitwao Staphylococas ni upi kuna mgonjwa kapimwa na pia dawa za antibiotics kama tetracline,cipro,amoxciln,pennicilin hazijamtibu baada ya kuweka kwenye...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
10 Fruit Juices Good for Health Juisi 10 za Matunda Nzuri kwa Afya Not many people know that soursop fruit (also part of the soursop tree, ie leaves) keep hidden strength to fight...
8 Reactions
28 Replies
15K Views
Kwa maeneo mengi hasa ya mijini kila kona mfano kwenye magazeti, mabango na hata redioni kumekuwa na wimbi kubwa la matangazo ya waganga wa jadi ambao hujinadi kutoa dawa za mapenzi mfano kuongeza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
New Australian system bypasses the body's visual mechanics entirely as images are plugged straight into the brain! Engineers in Australia have developed a technology they hope will allow totally...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
http://jipange101.com/index.php/93-health-editor/163-third-of-malaria-drugs-are-fake A third of malaria drugs used around the world to stem the spread of the disease are counterfeit, data...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
By Michelle Roberts Health editor, BBC News online Some species in Thailand and Vietnam spread a drug-resistant malaria strain Continue reading the main story Related Stories India launches...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Nina mchumba wangu pindi anapofka kwenye hedhi huwa anapata maumivu makali, vichomi,na tumbo kumuuma kiasi cha kukosa hata ham ya kula msaada wenu ni muhimu kwa sababu naamin hakuna jambo litakalo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
UNAWEZA KUDHIBITI U.T.I MWENYEWE..! U.T.I ni ugonjwa sugu unaosumbua sana watu wengi hivi sasa, wakubwa kwa wadogo. U.T.I...
9 Reactions
15 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…