Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dear ALL United States have found new cancer in human beings caused by Silver Nitro Oxide. Whenever you buy recharge cards, don’t scratch with nails as it contains Silver Nitro Oxide coating and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika makala ya leo nawaeleza faida za juisi ya kitunguu maji katika mwili wako, ikiwemo uwezo wake wa kuzuia na kutibu magonjwa sugu na yaliyoshindikana kwa kutumia dawa za hospitali...
2 Reactions
15 Replies
74K Views
JF Doctror Nipo Dar, Nataka ushauri wa hospitali (ambayo inaaminika) ambayo naweza kutumia kadi yangu ya AAR nikafanye cheki ya mwili wangu katika maeneo yafuatayo: Medical examination An HIV...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nne kwa watu wazima watano uzoefu maumivu nyuma wakati fulani, lakini nyuma ni hivyo tata kila mtu anahitaji chaguzi matibabu ya mtu binafsi. Kugundua zaidi juu ya jinsi ya nyuma matendo yenu...
5 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau na madaktari nisaidieni katika hili maana naweza kujiona niko normal kumbe ni abnormalities. Huwa ninatoa manii zikiwa nzito zimeganda wakati wa mechi na huwa zinatoka kwa speed ndogo kama...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Watu wanaokula Chocolate mara kwa mara huwa wembamba. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya. Karibu watu 1000 nchini Marekani walifanyiwa utafiti ambao wamekuwa makini katika vyakula vyao. Waliokuwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
kuna tatizo ambalo linamatokeaga mdogo we2 la kuwashwa kwenye tupu yake ya nyuma je mnaweza kunsaidia chanzo chake na dawa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni kuhusu mwanamuke aliyekosa hedhi. kwa mujibu wa maelezo yake,yeye ni mzazi wa mtoto mwenye umri wa miezi sita. tarehe 28-03-2012 alipata hedhi kama ilivyo ada. tarehe 15-04-2012 ali do na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
binafsi ni kama kaugonjwa fulani hivi,nilipokua na mpenz wangu huwa naweza fanya sex zaidi ya mara tano hadi sita,hii hutokea pale ninapomuita na akaja bila purukushani ya aina yeyote ile.tatizo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepata kusikia kuwa mizizi yoyote itumikayo kama dawa, pamoja na kutibu ugonjwa husika, pia huimarisha misuli (dauble advantage), je kuna ukweli wowote?? Na kama zinafaida, kwanini watu wengi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuna kisa kimesimuliwa hivi punde RADIO MARIA kuwa kuna mama mmoja alitoa mimba huku akiwa na mume ndani. Katika kutoa mimbo hiyo hakumshirikisha mumewe. Nimejitahidi kujiuliza maswali mengi sana...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Mimi nina hulka hiyo na huwa sijitambui ni marafiki na jamaa ndo huwa wanani daught,mfano nikikaa na marafiki tunakunywa bia mimi mpaka wote waende mara 4 mi mara moja , lakini utotoni nilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JAMANI WANA JF bibi yangu anasumbuliwa na kitu kama kiko kwenye mfuko wa nyongo,ni kitu kama barafu sasa basi mwenye ufahamu ninamna gani tunaweza kupata dawa ya kuiyeyusha tumboni naombeni msadaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu,jamani mm nasumbuliwa na muwasho mwili mzima,nikijikuna natoka vipele vidogo vidogo,nimeshaenda hospital mara nyingi sana,nimepewa dawa za kumeza,nimechomwa sindano za mishipa,nimemeza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nina shida kidogo ya kiafya hivyo nimeambiwa nipunguze fat, sugar, protein na starch. Kuna baadhi ya viti nimeacha kabisa kula kama red meat, wali, ugali, sukari na chumvi. Nimetokea sana kupenda...
0 Reactions
12 Replies
20K Views
By DR. CHRISTOPHER TOKIN When it comes to heart health, not all chocolate is created equal. This was the finding of a new study in which researchers at San Diego State University pitted dark...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Rishi Sharma, M.D. Sweet and refreshing, berries are thought of as a summer treat, but new evidence suggests that these fruits eaten regularly may also help preserve brain function. Harvard...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani msaada kwa wanaojua cku mbaya za mwanamke kupata mimba? Pleas!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
From Health Matters program,research findings have shown that male circumsicion reduces H.I.V infections by 60%. KBC 1 TELEVISION.
1 Reactions
3 Replies
932 Views
tooth ache can realy be a pain i the a**. tangu juzi jino lilikua linanipa shida kias kwamba hata kulala ilikua haiwezekani usiku. but nika invent a relief method ambayo wengi hawataamini but...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…