Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kwa mwanamke anahitaji mimba anitafute kwani najiamnini sana kwa kumpatia mwanamke mimba kwa haraka zaidi,kwani nguvu zangu za kiume nazi amni sana.serious its note a joke
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dawa ni tunda la msatafeli / kisayansi unaitwa Annona muricata Mtu atumie tunda la mstafeli ili kulinda afya yake na pia kupunguza uwezekano wa kupata kansa Na pia hamasisha jamii yako kutumia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni gauti inanitesa sana,hivi ninywe pombe gani na nyama gani ili isinisumbue maana kila nikinywa bia*u pombe kali navi$ba miguu na nikono.Wajuzi hebu nipeni utaalamu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa yoyote anayejua dawa ya red eyes naomba anisaidie sababu inantesa sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa hili,hivi ni unywaji gani wa pombe unakubalika kiafya kwa siku(Kwa kinywji cha Beer)?mfano bia moja,mbili,tatu.....Na ipi ni bora zaidi moto au baridi!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada kwenu wana jf. nina tatizo la kupata maumivu kwenye vidole vya miguuni na mikononi na huwa joto linakuwa kali sana hata nikimshika mtu kwa mkono anaona nina joto ambalo siyo kawaida. swali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mercury found in lotions and cosmetics, says FDALINDSAY GOLDWERT Wednesday, March 07, 2012 Women are being warned to stay away from beauty products that contain a toxic ingredient — mercury...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Wakuu huyu mdudu anasumbua sana watu hasa ukanda huu wa arusha,ningependa kujuzwa je ana sumu zaid ya kuunguza ngozi? na je kuna dawa ya hospital ya kutibu majeraha yake? samahanini kama nimekosea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wataalam, Nauliza kama kuna jitihada ambayo mzazi anaweza kufanya kuongeza IQ ya mtoto akiwa mchanga ili baadae mtoto asiwe boya shuleni/kimaisha.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari great thinkers!! MANENO 2 YALIYOANDIKWA ZAIDI KATIKA BIBLIA: Inashangaza kidogo hii, hata hivyo habari ndio hiyo, ukimuuliza mtu anadhani ni maneno gani 2 yamejiruidia zaidi kuandikwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani leo hii nimejisahau nimekula nyama nyama na mwanafunzi wa form six na yuko kwenye siku zake za hatari kwani ni siku yake ya kumi na tano tangu atoke kwenye MP,naombeni msaada nimwepushe na...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna Mtu akiwa kwenye hali ya kupanic hasa anapokuwa kwenye chumba cha mtihani anaishia kupiga bao (kutoa mbegu za kiume) na itambidi hilo tendo liishe kwanza kabla ya kuendelea na chochote sababu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani msaada jamani mdogo wangu amepatwa na fungus kidoleni yani ukucha wote umeliwa,ametumia nistatin laikin bado pia fungu zimetokea mgongoni,makwapani na kwenye masikio je atumie dawa gani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chest pain caused by angina or a heart attack may be similar to or different from chest pain caused by other conditions. Depending upon the cause, chest pain can have varying qualities (sharp...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
  • Closed
Jamani ndugu zangu njia yangu ya haja kubwa inawasha sana kwa nnje ni kama miaka minne hivi ukiwa unawasha sana. Najikuna huko hadi najichubuka, nimetumia sana dawa ya minyoo nilivyoshauriwa na...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
heshima Wakuu ilikuwa kama kihoja kwangu coz ndio mara ya kwanza kutokea; nina rafiki yangu ambaye ameoa na kama tunaishi kama ndugu; hivi majuzi alikuwa anaumwa malaria na alipata dawa mseto, kwa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
"Ni wiki ya nne tokea mke wangu amesafishwa baada ya mimba kuharibika, ni jana amening'ang'ania sana kutaka huduma ya tendo la ndoa anadai kwamba amepona na ana hamu sana ya "mhogo". Nikampatia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
[TABLE="width: 951"] [TR] CUPPING IS A POWERFUL TREATMENT TO PROMOTE BLOOD CIRCULATION Cupping (hijama or bekam) therapy is an alternative medicine that can treat and/or cure many diseases...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari madaktari wa JF! Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto, ila kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa. Ni kwamba tangu nikiwa mdogo nilikuja kugundua kuwa uume wangu una tabia...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…